Uzi maalumu wa kutaniana na mtani wako hapa Jf

hahahaha
nikigundua atachezea nakozi, vitasa na konzi za kufa mwanadamu hadi ajute. ujima wa kurogana naupiga maruruku kama uzazi wa mpango 😎
Umeona lakini anachokiomba kwa fundi??? Ebola baba, Ebola, pigo takatifu.

Ebola haina baunsa mkuu,[emoji41]
 
Umeona lakini anachokiomba kwa fundi??? Ebola baba, Ebola, pigo takatifu.

Ebola haina baunsa mkuu,[emoji41]
hahaha
ebola noma mkuu
maana alipigwa padri mmoja huko west afrika akawekwa karantini akawa anaombea waumini akiwa mita mia.
huko sasa amefika mbali, aje tuyajenge tu yaishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…