Uzi maalumu wa kutaniana na mtani wako hapa Jf

Uzi maalumu wa kutaniana na mtani wako hapa Jf

matunduizi jamaa ndo ameenda tena kwa fundi kukusetia mitambo. Maana anaona bado unazurura zurura hovyo tu, hutulii. (Mzee wa kurogwa[emoji23])
IMG-20150920-WA0004.jpg
 
hahahaha
nikigundua atachezea nakozi, vitasa na konzi za kufa mwanadamu hadi ajute. ujima wa kurogana naupiga maruruku kama uzazi wa mpango 😎
Umeona lakini anachokiomba kwa fundi??? Ebola baba, Ebola, pigo takatifu.

Ebola haina baunsa mkuu,[emoji41]
 
Back
Top Bottom