Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Hahahaaaa, na wewe ni wa kulekulee eeh? Wa wapi sasa Mwanza, Shinyanga au Geita?
hapana!nimeishi nao sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa, na wewe ni wa kulekulee eeh? Wa wapi sasa Mwanza, Shinyanga au Geita?
Hahaaa sawa wasubiri watakujaSawa Sesten nawasubiri waje niwatanie. 😂😂😂
Hahaha hah siji nikija kukutoa lazima nikuteseKanungila Karim mbona ile dp yetu umevaa miwani ya fundi welding umeitoa? Au kelele zimezidi toka kwa lucas mobutu.
Padri Mcharo (katibu mwenezi wa wapiga nyeto) umeacha kipiga kampeni za nyeto?
Money Penny, usiache kuja kuniwekea dhamana central.
yna2 sijakusahau, utakuja kuniua na dp yako
Ntakupa ukuu wa wilaya kama kidoti, nikikua mkubwa lakini[emoji18]Hahaha hah siji nikija kukutoa lazima nikutese
Me nitakuwa mzee wa miaka 68 sijui kama katiba itaruhusu kuajiri wazee vikongweNtakupa ukuu wa wilaya kama kidoti, nikikua mkubwa lakini[emoji18]
hahahahamatunduizi jamaa ndo ameenda tena kwa fundi kukusetia mitambo. Maana anaona bado unazurura zurura hovyo tu, hutulii. (Mzee wa kurogwa[emoji23])View attachment 885354
Si ntabadilisha katiba, una hofu ya nini. Atakaegoma kupiga kura bungeni kupitisha katiba nita fyekelea fyeke, shabaaaaash!!!!Me nitakuwa mzee wa miaka 68 sijui kama katiba itaruhusu kuajiri wazee vikongwe
Umeona lakini anachokiomba kwa fundi??? Ebola baba, Ebola, pigo takatifu.hahahaha
nikigundua atachezea nakozi, vitasa na konzi za kufa mwanadamu hadi ajute. ujima wa kurogana naupiga maruruku kama uzazi wa mpango 😎
hahahaUmeona lakini anachokiomba kwa fundi??? Ebola baba, Ebola, pigo takatifu.
Ebola haina baunsa mkuu,[emoji41]
Nikutanie???
nipo mtani nimejaa kama nchi yetu ilivyo DONA KANTREEmsukuma.com uko wapi mtani nije kukutania. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimefurahi kukuona Mtani. Kwa kuwa umekuja hata kukutania nimeghairi. 😂😂nipo mtani nimejaa kama nchi yetu ilivyo DONA KANTREE
HeheKuna dada humu jf anatuma post za ajabu watabiri waliwahi kusema eti ukimuingiza mkuyenga break ya kwanza pumbu zinagonga vuzi eti hakuna kizuizi njiani.