Lior
JF-Expert Member
- Jul 30, 2018
- 1,617
- 3,697
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi threads za kuwazungumzia members wa JF zimezidi sana hadi imekua kero sasa....nadhani moderators wanapaswa kufanya kituKila mtu apewe maua yao kwa sababu wana ID's zao na wengine ni wachangiaji wazuri
Zingatia neno 'kama'Dah! Unajua kuotea kinyamaa![]()
Wala usijali kuwa free endelea kula rahaHizi threads za kuwazungumzia members wa JF zimezidi sana hadi imekua kero sasa....nadhani moderators wanapaswa kufanya kitu
naona moderetors wana modify kichwa cha habariHizi threads za kuwazungumzia members wa JF zimezidi sana hadi imekua kero sasa....nadhani moderators wanapaswa kufanya kitu
Pale selfika, ukigeukia huku tupia tuone ilivyopendeza, haujakaa vizuri, now kuna maua yanatolewa. Hebu tuacheni members tupumzike, tumechoka sasa π
Toa maua kwa member mmoja acha porojoPale selfika, ukigeukia huku tupia tuone ilivyopendeza, haujakaa vizuri, now kuna maua yanatolewa. Hebu tuacheni members tupumzike, tumechoka sasa π