Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
nipo mpenzi........Nipo. Umepotea sana aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nipo mpenzi........Nipo. Umepotea sana aisee
[emoji482][emoji482][emoji482]!!Nyamwi255 @Lovelovie cocastic, min -me Mdakuzi cacutee Mahondaw Lamomy min -me Pascal Mayalla @smart991 Labella raraa reree Lucas Mwashambwa mzabzab na wengineo wengi, nawakubali sana kila nikiingia Jf lazima niwacheki bila nyie nakuwa mnyonge
namkubali sana FaizaFoxy ...sana !Kuna watu unakuta wanaulizia ID flani za JF baada ya kutoonekana kwa muda.
Kuna watu hupata ushauri ambao unawaondoa kabisa kwenye hali waliokua nayo.
Kuna watu husema wamekua addicted na JF.
Hii yote ni kwasababu ya mchango wa kila mmoja huku, na ndio kinachofanya pawe sehemu ya kuvutia na kusaidia wengi pia.
Bila kusahau kuwa huku pamekua sehemu ya Burudani, kukutana na watu kuunda connections na kuondoa stress mbalimbali.
Huu uzi ni kwa ajili ya kutoa maua kwa ID mbali mbali humu.
I-tag ID kabisa ukiitoa kichwani mwako bila ku angalia mahali, umpe maua yake kabisaa.
Binafsi kwangu ni wengi ila saivi nitampa maua yake
DR Mambo Jambo kwenye masuala mazima ya afya na kuonyesha ukomavu mkubwa wa akili.
raraa reree huyu kila mmoja anamuona hadi tuna wasiwasi nae, au ni bot ?
Mimi nimeanza na hawa maana ni wengi na siwezi kuwamaliza wote...
Ww hujapewa ua?[emoji482][emoji482][emoji482]!!
Twende chumbani ukaniogeshe my love! 😘💗Babe nilikuwa jikoni napika.
Niambie my love....💞
Ndyoo [emoji23][emoji23][emoji23]Ww hujapewa ua?
Naam naam mkuu nipo hapa nashukuru sana sanaa sanaaa