Uzi maalumu wa kutoa maua kwa Members mbalimbali wa JF

Uzi maalumu wa kutoa maua kwa Members mbalimbali wa JF

Demi a.ka "fundi mkuu wangu" nikiona~ga sms yako napata nguvu na hamasa ya aina yake katika kila nyanja ya kimaisha. Big hugs & much love.........💐💐
Inatia moyo kufahamu kwamba kuna mtu mahali anakukubali kwa namna moja ama nyingine. I appreciate my dear. Thank you so much. 🙏🙏
 

Attachments

  • Screenshot_20240720-143455.jpg
    Screenshot_20240720-143455.jpg
    278.5 KB · Views: 3
Phdum chukua maua yako😡😡 maana hapa jf hakuna anayenipa maua yangu
 
Back
Top Bottom