Uzi maalumu wa kutoa maua kwa Members mbalimbali wa JF

Uzi maalumu wa kutoa maua kwa Members mbalimbali wa JF

Kuna watu unakuta wanaulizia ID flani za JF baada ya kutoonekana kwa muda.

Kuna watu hupata ushauri ambao unawaondoa kabisa kwenye hali waliokua nayo.

Kuna watu husema wamekua addicted na JF.

Hii yote ni kwasababu ya mchango wa kila mmoja huku, na ndio kinachofanya pawe sehemu ya kuvutia na kusaidia wengi pia.

Bila kusahau kuwa huku pamekua sehemu ya Burudani, kukutana na watu kuunda connections na kuondoa stress mbalimbali.

Huu uzi ni kwa ajili ya kutoa maua kwa ID mbali mbali humu.

I-tag ID kabisa ukiitoa kichwani mwako bila ku angalia mahali, umpe maua yake kabisaa.

Binafsi kwangu ni wengi ila saivi nitampa maua yake

DR Mambo Jambo kwenye masuala mazima ya afya na kuonyesha ukomavu mkubwa wa akili.

raraa reree huyu kila mmoja anamuona hadi tuna wasiwasi nae, au ni bot ?

Mimi nimeanza na hawa maana ni wengi na siwezi kuwamaliza wote...
Hayamaua hayaozi ama nnya plastick
 
Kuna watu unakuta wanaulizia ID flani za JF baada ya kutoonkwa ajili ya kutoa maua kwa ID mbali mbali humu.

I-tag ID kabisa ukiitoa kichwani mwako bila ku angalia mahali, umpe maua yake kabisaa.

Binafsi kwangu ni wengi ila saivi nitampa maua yake


Mimi nimeanza na hawa maana ni wengi na siwezi kuwamaliza wote...
DR HAYA LAND
jiwe angavu
Smart911
cocastic
Chukueni maua yenu hakika mnamsaada mkubwa sana kwangu bila kuelewa , Mungu awabariki
 
Shimba ya Buyenze hii Id huwa inanifurahisha tu😂😂 nikiikumbuka nacheka tu
Ni nini hasa huwa kinakuchekesha ukiikumbuka hii ID mpendwa Amehlo? Au tangu uliponifundisha kuweka profile picture ukanipiga dume la ng'ombe bado hujasahau? 😁🖐

Screenshot_20240710_101803_Samsung Internet.jpg
 
Back
Top Bottom