P h a r a o h
JF-Expert Member
- Mar 25, 2024
- 785
- 1,413
Kuna watu unakuta wanaulizia ID flani za JF baada ya kutoonekana kwa muda.
Kuna watu hupata ushauri ambao unawaondoa kabisa kwenye hali waliokua nayo.
Kuna watu husema wamekua addicted na JF.
Hii yote ni kwasababu ya mchango wa kila mmoja huku, na ndio kinachofanya pawe sehemu ya kuvutia na kusaidia wengi pia.
Bila kusahau kuwa huku pamekua sehemu ya Burudani, kukutana na watu kuunda connections na kuondoa stress mbalimbali.
Huu uzi ni kwa ajili ya kutoa maua kwa ID mbali mbali humu.
I-tag ID kabisa ukiitoa kichwani mwako bila ku angalia mahali, umpe maua yake kabisaa.
Binafsi kwangu ni wengi ila saivi nitampa maua yake
DR Mambo Jambo kwenye masuala mazima ya afya na kuonyesha ukomavu mkubwa wa akili.
raraa reree huyu kila mmoja anamuona hadi tuna wasiwasi nae, au ni bot ?
Mimi nimeanza na hawa maana ni wengi na siwezi kuwamaliza wote...