Makolo FC hawana hela ya kumsajili huyu jamaaNi mzuri ila injury zinamsumbua san simba wanahitaji straiker, huyu na cesor manzoki ndyo wapo kwenye makaratasi ya simba hadi mda huu
Anaitwa Samir Nurkovic
View attachment 2249346
Waondoke wote.View attachment 2250820
Vipi hapo Wanasimba auzwe nani na abaki nani?
Vilabu mbalimbali vinawawinda hawa
Hako kajamaa kanaongea mambo ya kipuuzi tuAhmed Ally kaongea shombo kuwa hawasajili mchezaji ambae hajafika Robo Fainal CAF,watu wakamuuliza wakina Kibu,Gadiel,Mhilu na wengineo walifika Robo final ipi ya CAF,kakimbia akaunti yake.
Kweli kabisa naunga mkono hojaWaondoke wote.
Muda mwingi wanawaza kucheza mpira na jukwaa badala ya kutafuta mafanikio ya timu. Tunahitaji mchezaji anayewaza mafanikio ya timu kama Kibu japo baadhi hawampendi, Kagere au Luiz Jose baada ya hapo ndo nafasi binafsi ya mchezaji itaonekana na washabiki watamuimba kila kona.
Ndo hapo shida Mkuu wacha tuone lakini. Sema kwa Pablo naona amefukuzwa ili kutuliza hali tu pale klabuniVipi jamani shusheni cv yake basi.
Alafu simba bwana wanamaamuzinya kijinga sana. Sasahuyu try again anasema kuwa pablo hakuwa na experience ya mpira wa africa...kwani wakati wakupigia cv zake hawakuliona hilo?
Wanataka kucheza nusu fainali ya caf basi katika recruitment ya kocha kitu cha kwanza ni condition hiyo. Kwamba kocha awe amewahi kufika semi final ya champions league. Hapo unakuwa tayari umeshapata quality coaches kwenye shortlist yako.
Mikia na wao wameamua kucheza kamari ya kusajili wakongo wacheza ndombolo,ngoja tuone kama italipa.Beki katili Nathan Fasika Idumba kwenye rada za Simba
View attachment 2251820
INAELEZWA kuwa, Rais wa Heshima wa Simba, ambaye pia ni mwekezaji wa klabu hiyo, Mohamed Dewji ‘Mo’, ameingilia usajili wa beki wa kati wa Cape Town City ya Afrika Kusini, Nathan Fasika Idumba.
Idumba raia wa DR Congo mwenye umri wa miaka 23, alijiunga na Cape Town City FC Julai 16, 2021, akitokea FC Saint Eloi ya kwao DR Congo.
Beki huyo anatajwa kuja kuwa pacha wa Henock Inonga Baka katika eneo la ulinzi la Simba msimu ujao ambapo tayari wachezaji hao wameshawahi kucheza pamoja.
Chanzo chetu kutoka ndani ya Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, kimeweka bayana kwamba: “Ukisikia msimu ujao tumejipanga kufanya usajili wa kutisha basi ni vema tukaelewana hivyo, maana tayari Mo, kashika usukani wa usajili na hapa ninapoongea tayari ameiita menejimenti ya mchezaji wa Cape Town City, Nathan Fasika Idumba ili kukamilisha dili.
“Kimsingi Mo ameamua kufanya mazungumzo na uongozi wa Bro Soccer Management, ambao unamsimamia Idumba, hii ni baada ya kukamilisha mazungumzo ya awali na uongozi wa Cape Town City.
“Bodi yetu imeweka mkazo zaidi kwa Idumba kwa kuwa ni moja ya mabeki bora kwa sasa, kama akitua hatakuwa na kazi kubwa ya kuzoeana na Inonga ambaye tayari alishawahi kucheza naye, wanajuana vizuri,” kilisema chanzo hicho
Chanzo : Globalpublishers
Mbona huyu anaelekea Azam!Mayele naye ameanza kutikisa kiberiti Yanga...……………….!
Hapana, mkononi ana offer nono kabisa za berkane na Orlando pirates! ndiyo maana ana tikisa kiberiti kwa kiburi kweli kweliMbona huyu anaelekea Azam!