Uzi maalumu wa kuweka tetesi na Taarifa za usajili Ligi Kuu ya NBC kwa msimu ujao 2022/2023

Uzi maalumu wa kuweka tetesi na Taarifa za usajili Ligi Kuu ya NBC kwa msimu ujao 2022/2023

Ahmed Ally kaongea shombo kuwa hawasajili mchezaji ambae hajafika Robo Fainal CAF,watu wakamuuliza wakina Kibu,Gadiel,Mhilu na wengineo walifika Robo final ipi ya CAF,kakimbia akaunti yake.
Ally nae ajuagi kuongea kwenye maojiano.
 
Uzi mzuri sana utasaidia wachambuzi kupata madini haoa
 
Uzi mzuri sana utasaidia wachambuzi kupata madini hapa
 
Boss kasema

Screenshot_20220603-191435.jpg
 
1654409120228.png

Za ndaaaani zinasem kwamba Mzee wa kutetema anataka mshahara mara mbili ya anaolipwa sasa ili asalie kwa Wananchi.

Vipi anastahili au auzwe kwa Ibenge?
 
1654409260682.png

Vipi hapo Wanasimba auzwe nani na abaki nani?

Vilabu mbalimbali vinawawinda hawa
 
1654409342968.png

Kimekaliwa kikao mda siyo mrefu moja ya majina ambayo yametajwa kwenye hiki kikao cha ndani ni huyu jamaa

Anaitwa frank mbella ni raia wa Cameron anakipiga ghana na club ya kotoko ambayo imebeba ubingwa msimuu huu baada ya miaka 7 kupita
Na frank amefunga mabao 15 kwenye match 19 na jina lingne ambalo limetajwa ni ""Cesor Manzoki ""

Pamoja na moses phiri

Endelea kubaki hapa utafaidi mengi
= Frank Mbela
= Cesor Manzoki
= Moses Phiri
 
Simba inasemekana eti Kocha wa dunia huyu hapa

1654409467277.png

INAELEZWA kwamba, Kocha Mkuu wa APR ya Rwanda, Mohammed Adil Erradi, ametua Dar kimyakimya kwa ajili ya kufanya mazungumzo na mabosi wa Simba huku akiwa ameomba ruhusa ya mapumziko katika klabu yake.

Simba imekuwa katika kipindi cha kufanya mabadiliko makubwa ndani ya timu hiyo kutokana na kutokuwa na matokeo mazuri ikishindwa kutetea mataji yake yote ambayo ni Ngao ya Jamii, Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho la Azam Sports, huku ikibeba Kombe la Mapinduzi.

Tayari Rais wa Heshima wa Simba, Mohamed Dewji ameweka wazi kufanyika uamuzi mgumu klabuni hapo baada ya kufungwa na Yanga 1-0 na kuvuliwa ubingwa wa Kombe la Shirikisho la Azam Sports.
 
1654426286603.png

WADADA ATUA IHEFU
.
Beki wa kulia wa Azam FC, Nico Wadada 🇺🇬 amefikia makubaliano ya kujiunga na Ihefu SC baada ya mkataba wake na Azam kufikia tamati mwisho wa msimu.
.
Habari za uhakika zimeeleza kuwa beki huyo raia wa Uganda ameamua kutua Ihefu SC badala ya Singida Big Stars na Namungo ambazo zilikuwa zikimuwania.
.
Uamuzi wa Wadada kujiunga na Ihefu umekuja baada ya uongozi wa Azam kumjulisha nyota huyo mwenye umri wa miaka 27 kuwa hautamuongezea mkataba mpya baada ya ule wa sasa kumalizika.
 
Simba inasemekana eti Kocha wa dunia huyu hapa

View attachment 2250828
INAELEZWA kwamba, Kocha Mkuu wa APR ya Rwanda, Mohammed Adil Erradi, ametua Dar kimyakimya kwa ajili ya kufanya mazungumzo na mabosi wa Simba huku akiwa ameomba ruhusa ya mapumziko katika klabu yake.

Simba imekuwa katika kipindi cha kufanya mabadiliko makubwa ndani ya timu hiyo kutokana na kutokuwa na matokeo mazuri ikishindwa kutetea mataji yake yote ambayo ni Ngao ya Jamii, Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho la Azam Sports, huku ikibeba Kombe la Mapinduzi.

Tayari Rais wa Heshima wa Simba, Mohamed Dewji ameweka wazi kufanyika uamuzi mgumu klabuni hapo baada ya kufungwa na Yanga 1-0 na kuvuliwa ubingwa wa Kombe la Shirikisho la Azam Sports.
Vipi jamani shusheni cv yake basi.
Alafu simba bwana wanamaamuzinya kijinga sana. Sasahuyu try again anasema kuwa pablo hakuwa na experience ya mpira wa africa...kwani wakati wakupigia cv zake hawakuliona hilo?

Wanataka kucheza nusu fainali ya caf basi katika recruitment ya kocha kitu cha kwanza ni condition hiyo. Kwamba kocha awe amewahi kufika semi final ya champions league. Hapo unakuwa tayari umeshapata quality coaches kwenye shortlist yako.
 
Back
Top Bottom