Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Watakuwa wamelamba dume,atawafikisha Robo final CAF.Klabu ya Mamelod Sundown inakaribia kunasa saini ya mshambuliaji machachari JOHN BOCCO kutoka klabu ya Simba Sc ya nchini Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watakuwa wamelamba dume,atawafikisha Robo final CAF.Klabu ya Mamelod Sundown inakaribia kunasa saini ya mshambuliaji machachari JOHN BOCCO kutoka klabu ya Simba Sc ya nchini Tanzania.
kama vile unanua pipi. Yanga inachoweza ni wachesaji wa mafungu na mikopo CongoUshauri wa bure wananchinkama mnataka kuingia hatua ya makundi champions leagu tukamnunue yule beki wa wydad....alikochafua sana kwenye final
Mchukue i nyie basi...bonge la stopper yulekama vile unanua pipi. Yanga inachoweza ni wachesaji wa mafungu na mikopo Congo
Halafu wote wa ghanaMorrison hana tofauti na Mario Barotell! Wana vipaji vikubwa, halafu utoto mwingi.
Mickison mwenyewe hamna timu ya tz inayoweza mlipa mshahara labda aje kwa mkopoWanauwezo..?
Ndio hao wamewapa ubingwa msimu huu huku nyie hao wachezaji wenu wasio wa mafungu wakifungwa na Yangakama vile unanua pipi. Yanga inachoweza ni wachesaji wa mafungu na mikopo Congo
Ally nae ajuagi kuongea kwenye maojiano.Ahmed Ally kaongea shombo kuwa hawasajili mchezaji ambae hajafika Robo Fainal CAF,watu wakamuuliza wakina Kibu,Gadiel,Mhilu na wengineo walifika Robo final ipi ya CAF,kakimbia akaunti yake.
[emoji23][emoji23][emoji23]Watakuwa wamelamba dume,atawafikisha Robo final CAF.
🤣🤣🤣🤣🤣SureWatakuwa wamelamba dume,atawafikisha Robo final CAF.
Hapo kwa Cesor Manzoki naunga mkono kwa 100%.Ni mzuri ila injury zinamsumbua san simba wanahitaji straiker, huyu na cesor manzoki ndyo wapo kwenye makaratasi ya simba hadi mda huu
Anaitwa Samir Nurkovic
View attachment 2249346
Huyo anataka kusepa...anatoa demands ambazo anajua club haiwezi timizaView attachment 2250818
Za ndaaaani zinasem kwamba Mzee wa kutetema anataka mshahara mara mbili ya anaolipwa sasa ili asalie kwa Wananchi.
Vipi anastahili au auzwe kwa Ibenge?
Vipi jamani shusheni cv yake basi.Simba inasemekana eti Kocha wa dunia huyu hapa
View attachment 2250828
INAELEZWA kwamba, Kocha Mkuu wa APR ya Rwanda, Mohammed Adil Erradi, ametua Dar kimyakimya kwa ajili ya kufanya mazungumzo na mabosi wa Simba huku akiwa ameomba ruhusa ya mapumziko katika klabu yake.
Simba imekuwa katika kipindi cha kufanya mabadiliko makubwa ndani ya timu hiyo kutokana na kutokuwa na matokeo mazuri ikishindwa kutetea mataji yake yote ambayo ni Ngao ya Jamii, Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho la Azam Sports, huku ikibeba Kombe la Mapinduzi.
Tayari Rais wa Heshima wa Simba, Mohamed Dewji ameweka wazi kufanyika uamuzi mgumu klabuni hapo baada ya kufungwa na Yanga 1-0 na kuvuliwa ubingwa wa Kombe la Shirikisho la Azam Sports.