Uzi maalumu wa kuweka tetesi na Taarifa za usajili Ligi Kuu ya NBC kwa msimu ujao 2022/2023

1654774730942.png

Simba wanataka kumsajili Udoh Etop kuziba nafasi itakayoachwa na Lwanga
 
More on Aziz Ki deal. Meeting today Evening Confirmed , took place in Ivory Coast reached full verbal agreement with Assec & agent too

Ki is Black & Yellow ✅
 
Black & Yellow?
 
Hi tabia ya kuibiana na kuviziana wachezaji. Ni ushamba na inakera Sana as if timu hazifanyi skaunting za kutosha had umuone mchezaji siku moja kapafomu alfu mnnaza kuingia mkenge kumsajili Kama ilivyotokea kwa chikwende Simba wakaingia mkenge kumvuta nachakizwa Sana na tabia hz za kishamba Sana ktk soka letu haiwezekani mtu unamuona mechi mbili taayar mnaanza kuwavizia na kuwap pesa ndefu bila kujuwa kuwa mchezaji huyo siku hyo alikuwa ktk piki yake tu na Wala hatishi kama mlivyomuona na kuaminisha

Kina haji na Barbra na khers acheni ushamba mafala nyie
 
Itakua humjui Ferguson na babatov
 
katika zama za ubepari uliokomaa ushindani ni jambo la kawaida......

hiyo hata Ulaya ipo
 
Na hiyo ndio Yanga ya Said Hedhi itakavyokuwa ya maneno maneno,majungu na umbeya kwa maana hiyo kati ya hizo mbili ipi akisaini mkataba?
Nb; aliyevaa nyekundu ni Aziza Kaisi mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya wanawake ya Sudani Kusini na kwa sasa ana leseni class B ya kufundisha timu za wanawake.
 
Wewe Zile Million 23 Za Fine Kutoka CAF Kwa Kufanya Ushirikina Kwenye Uwanja Wa Watu Mmeshazilipa Au Mnasubiria Kupelekwa Polisi?? Eeeh!....Wewe??
 
Na hiyo ndio Yanga ya Said Hedhi itakavyokuwa ya maneno maneno,majungu na umbeya kwa maana hiyo kati ya hizo mbili ipi akisaini mkataba?
Nb; aliyevaa nyekundu ni Aziza Kaisi mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya wanawake ya Sudani Kusini na kwa sasa ana leseni class B ya kufundisha timu za wanawake.
Lile goal la Feisal dhidi ya Simba pale kirumba tar 28.5.......ukiliangalia kwa muda wa masaa matano mfululizo,linapunguza maumivu,makasiriko,upumbavu na ujinga ulionao na uliokithiri

Zingatia ushauri unaopewa
 
Na hiyo ndio Yanga ya Said Hedhi itakavyokuwa ya maneno maneno,majungu na umbeya kwa maana hiyo kati ya hizo mbili ipi akisaini mkataba?
Nb; aliyevaa nyekundu ni Aziza Kaisi mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya wanawake ya Sudani Kusini na kwa sasa ana leseni class B ya kufundisha timu za wanawake.
Tehtehteh mheshimiwa kolo unapata mateso makubwa sana na bado,ningekushauri uachane na mambo ya football kwa hii miaka 5 inayokuja utapata kisukali ukiwa bado kijana mdogo
 
Na hiyo ndio Yanga ya Said Hedhi itakavyokuwa ya maneno maneno,majungu na umbeya kwa maana hiyo kati ya hizo mbili ipi akisaini mkataba?
Nb; aliyevaa nyekundu ni Aziza Kaisi mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya wanawake ya Sudani Kusini na kwa sasa ana leseni class B ya kufundisha timu za wanawake.
Ni hii hapa Kii akisaini kuichezea Simba
FB_IMG_16550070154377430.jpg
 
Back
Top Bottom