Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo hizo picha ni za wakati tofauti sababu ya nguo walizozivaaRasmi amesaini YangaView attachment 2257764View attachment 2257765
Black & Yellow?More on Aziz Ki deal. Meeting today Evening Confirmed , took place in Ivory Coast reached full verbal agreement with Assec & agent too
Ki is Black & Yellow ✅
Em Kaangalie Video Ya Goli La Feisal Tar 28 May Pale CCM Kirumba Alikuwa Amevaa Jezi Za Rangi GaniBlack & Yellow?
Itakua humjui Ferguson na babatovHi tabia ya kuibiana na kuviziana wachezaji. Ni ushamba na inakera Sana as if timu hazifanyi skaunting za kutosha had umuone mchezaji siku moja kapafomu alfu mnnaza kuingia mkenge kumsajili Kama ilivyotokea kwa chikwende Simba wakaingia mkenge kumvuta nachakizwa Sana na tabia hz za kishamba Sana ktk soka letu haiwezekani mtu unamuona mechi mbili taayar mnaanza kuwavizia na kuwap pesa ndefu bila kujuwa kuwa mchezaji huyo siku hyo alikuwa ktk piki yake tu na Wala hatishi kama mlivyomuona na kuaminisha
Kina haji na Barbra na khers acheni ushamba mafala nyie
katika zama za ubepari uliokomaa ushindani ni jambo la kawaida......Hi tabia ya kuibiana na kuviziana wachezaji. Ni ushamba na inakera Sana as if timu hazifanyi skaunting za kutosha had umuone mchezaji siku moja kapafomu alfu mnnaza kuingia mkenge kumsajili Kama ilivyotokea kwa chikwende Simba wakaingia mkenge kumvuta nachakizwa Sana na tabia hz za kishamba Sana ktk soka letu haiwezekani mtu unamuona mechi mbili taayar mnaanza kuwavizia na kuwap pesa ndefu bila kujuwa kuwa mchezaji huyo siku hyo alikuwa ktk piki yake tu na Wala hatishi kama mlivyomuona na kuaminisha
Kina haji na Barbra na khers acheni ushamba mafala nyie
Wewe Zile Million 23 Za Fine Kutoka CAF Kwa Kufanya Ushirikina Kwenye Uwanja Wa Watu Mmeshazilipa Au Mnasubiria Kupelekwa Polisi?? Eeeh!....Wewe??Na hiyo ndio Yanga ya Said Hedhi itakavyokuwa ya maneno maneno,majungu na umbeya kwa maana hiyo kati ya hizo mbili ipi akisaini mkataba?
Nb; aliyevaa nyekundu ni Aziza Kaisi mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya wanawake ya Sudani Kusini na kwa sasa ana leseni class B ya kufundisha timu za wanawake.
twende sawa,,msimu ujao wataisoma nambaRasmi amesaini YangaView attachment 2257764View attachment 2257765
Lile goal la Feisal dhidi ya Simba pale kirumba tar 28.5.......ukiliangalia kwa muda wa masaa matano mfululizo,linapunguza maumivu,makasiriko,upumbavu na ujinga ulionao na uliokithiriNa hiyo ndio Yanga ya Said Hedhi itakavyokuwa ya maneno maneno,majungu na umbeya kwa maana hiyo kati ya hizo mbili ipi akisaini mkataba?
Nb; aliyevaa nyekundu ni Aziza Kaisi mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya wanawake ya Sudani Kusini na kwa sasa ana leseni class B ya kufundisha timu za wanawake.
Tehtehteh mheshimiwa kolo unapata mateso makubwa sana na bado,ningekushauri uachane na mambo ya football kwa hii miaka 5 inayokuja utapata kisukali ukiwa bado kijana mdogoNa hiyo ndio Yanga ya Said Hedhi itakavyokuwa ya maneno maneno,majungu na umbeya kwa maana hiyo kati ya hizo mbili ipi akisaini mkataba?
Nb; aliyevaa nyekundu ni Aziza Kaisi mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya wanawake ya Sudani Kusini na kwa sasa ana leseni class B ya kufundisha timu za wanawake.
Ni hii hapa Kii akisaini kuichezea SimbaNa hiyo ndio Yanga ya Said Hedhi itakavyokuwa ya maneno maneno,majungu na umbeya kwa maana hiyo kati ya hizo mbili ipi akisaini mkataba?
Nb; aliyevaa nyekundu ni Aziza Kaisi mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya wanawake ya Sudani Kusini na kwa sasa ana leseni class B ya kufundisha timu za wanawake.