Affet
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 1,189
- 1,672
HaaaaaahaaaaaaSimba wasiri sana Ki Aziz watamtangaza siku ya Simba day.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HaaaaaahaaaaaaSimba wasiri sana Ki Aziz watamtangaza siku ya Simba day.
Umri wa kondeboy na wa kambole vinalingana? Umri wa Kambole na hayati Nyerere wanazidiana kidogo tu mkuu. Kambole mifupa imeshaanza kukakamaa yule . Hawezi badilika.Watuambie kondeboy alitoka na goli ngapi mamelod?
Huyu dogo ni fundi sana. Kama Simba watamleta atatufaa sanaView attachment 2253626
MRITHI WA BWALYA HUYU HAPA
Simba inahusishwa kumuwania kiungo wa Horoya Ac, Morlaye Sylla raia wa Guinea
Sylla (23) aliyewahi kucheza soka la kulipwa Nchini Ureno, yumo kwenye orodha ya wachezaji wanaoweza kusajiliwa Simba Ili kuimarisha kikosi Chao kwaajili ya Msimu ujao
acha kudanganya Utopolo wenzioNa huu ni usajili wa pili bila shaka kwa wachezaji wa kigeni baada ya siku chache zilizopita kumsajili Azizi Ki kutoka Asec Mimosa ya Ivory Coast.
Wewe Ndo Uache Kudanganya Makolombwezo Wenzako [emoji23]acha kudanganya Utopolo wenzio
[emoji1787]Simba wasiri sana Ki Aziz watamtangaza siku ya Simba day.
Simba wanajua wanachofanyaWewe Ndo Uache Kudanganya Makolombwezo Wenzako [emoji23]View attachment 2259376
Ngoja Tutawaona Na Hayo Mambo Yenu, Mnajionaga Timu Ya Kipekee Sana Wakati Ni Mafala Tu [emoji23]Simba wanajua wanachofanya
Matokeo yake wanasajili kina Banda,Nyoni Kanoute na MhiluKuhusu tetesi za simba najua tutadnganyana tu. Simba wamekuwa wasiri sana toka mara aondoke.
Hata kwa makocha watu hadi wanaojiita wachambuzi walichemka.
Naunga mkono hoja.team yoyote itayo mnasa 'munyama' Chriss Mugalu itakuwa imelamba dumee…………..!
Simba ameshindwa ku pe sababu ya 'misumari' iliyo mpelekea kwenye kupata 'puncture' za mara kwa mara
Hahahaha! Mimi ni shabiki wa Simba lakini kwa post yako imebidi nicheke tu.Ngoja Tutawaona Na Hayo Mambo Yenu, Mnajionaga Timu Ya Kipekee Sana Wakati Ni Mafala Tu [emoji23]
Itanichefuaje!Bernard Morrison ameshasaini mkataba wa awali wa kujiunga na Yanga. Na taarifa zinaonyesha ni chaguo la Prof Nabi!
Mashabiki tusiomkubali huyu mvuta bangi sijui tutazificha wapo sura zetu msimu ujao! I wish abadili maamuzi dakika za mwisho, halafu abakie huko huko kwao.
Punguza ganjaKlabu ya Mamelod Sundown inakaribia kunasa saini ya mshambuliaji machachari JOHN BOCCO kutoka klabu ya Simba Sc ya nchini Tanzania.