Uzi maalumu wa kuweka tetesi na Taarifa za usajili Ligi Kuu ya NBC kwa msimu ujao 2022/2023

Mwaka ujao sahau kuhusu makombe. Na GSM katoboka hela za bahasha mno hivyo atajiepusha 🤣🤣🤣🤣 na kimataifa kule kama kawaida chaap tu msharudi jangwani. Ukame ule ule🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa mpk Simba anapokea bahasha za GSM.......ubingwa tutaendelea kuchukua labda Simba agome kuchukua hizo bahasha

Vipi nyie mtaendelea kuchukua hizo bahasha au mtaacha kuchukua hizo bahasha za GSM
 
Kwenu nyie mngeweka aisee tunawajua vzr. Na hapo mtu wenu anautaka uraisi ndani ya club mbona kiki kama kina mond tutakoma
Unashabikia mpira halafu hujui taratibu za usajili wenyewe

Huwezi kumtangaza mchezaji kwamba umemsajili na ikiwa dirisha la usajili halijafunguliwa ww KINABO

SIO lazima uwe shabiki wa mpira,pia unaweza kuwa shabiki wa punyeto

Umesikia ww Mama
 
Na jana hao watu wenu yanga wemetangaza nini..? 🤣🤣🤣🤣 afu kinabo limekupendezea mkuu mwana utopwinyo.
 
Sasa mpk Simba anapokea bahasha za GSM.......ubingwa tutaendelea kuchukua labda Simba agome kuchukua hizo bahasha

Vipi nyie mtaendelea kuchukua hizo bahasha au mtaacha kuchukua hizo bahasha za GSM
Mkuu usikasirike. Ila mtadanganywa mpaka lini.?
 
Dirisha la usajili halijafuguliwa mkuu....mbona mnajisahau sana

Subiri dirisha lifunguliwe ndo uwekewe picha za mchezaji akisaini,kinachofanyika sasa hivi ni makubaliano ya mkataba wa awali

Yaani hata huyu Ki Azizi mwenyewe huko Ivory coast ligi bado haijaisha halafu umtangaze

Hivi huwa mnawaza kwa kutumia makalio au?

Yaani unazi wa Simba unakutoa mpk akili
Mbona nimesikia kuwa CAF wamesema hadi tarehe 30 majina ya wachezaji wanaoshiriki klabu bingwa na Shirikisho wawe tayari wameshawekwa kwenye system yao? IMG_20220614_201838.jpg
 
Yanga tayari imemalizana na mchezaji flop Lazarous Kambole aliyetemwa na Kaizer chiefs
Hata hivyo Yanga ni kama machale yamewacheza kwani wamempa mkataba wa miezi 6 tu huku kukiwa na kipengele cha kumuongezea miaka miwili endapo hatafanya madudu kama aliyoyafanya akiwa South Africa
Kambole ambaye pia amewahi kung'aa ligi ya Zambia akiwa na Zesco katika misimu yake yote miwili akiwa na Kaizer chiefs amecheza jumla ya michezo 46 na kufanikiwa kufunga magoli mawili tu (MAWILI TU) kitu kilichowafanya Kaizer Chiefs kumuonyesha mlango wa kutokea na ndipo klabu Kongwe zaidi Tanzania (Yanga) ikajiokotea dodo kwenye mwarobaini
 
Sijui kama msimu uliopita kuna mchezaji ambaye kasajiliwa Simba pasipo tetesi zake kuvuma kwenye mitandao na magazeti. Inonga, kanoute, Sakho na banda wote tuliletewa tetesi zake. Labda usiri uanzie msimu huu wa usajili

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app

Tafuta hizo tetesi utuwekee hapa screenshot.
 
Yanga tayari imemalizana na mchezaji flop Lazarous Kambole aliyetemwa na Kaizer chiefs
Hata hivyo Yanga ni kama machale yamewacheza kwani wamempa mkataba wa miezi 6 tu huku kukiwa na kipengele cha kumuongezea miaka miwili endapo hatafanya madudu kama aliyoyafanya akiwa South Africa
Kambole ambaye pia amewahi kung'aa ligi ya Zambia akiwa na Zesco katika misimu yake yote miwili akiwa na Kaizer chiefs amecheza jumla ya michezo 46 na kufanikiwa kufunga magoli mawili tu (MAWILI TU) kitu kilichowafanya Kaizer Chiefs kumuonyesha mlango wa kutokea na ndipo klabu Kongwe zaidi Tanzania (Yanga) ikajiokotea dodo kwenye mwarobaini
Kwamba Flop[emoji23]
 
Back
Top Bottom