Mnyuke Jr
JF-Expert Member
- Jul 3, 2021
- 4,472
- 6,391
Sasa mpk Simba anapokea bahasha za GSM.......ubingwa tutaendelea kuchukua labda Simba agome kuchukua hizo bahashaMwaka ujao sahau kuhusu makombe. Na GSM katoboka hela za bahasha mno hivyo atajiepusha 🤣🤣🤣🤣 na kimataifa kule kama kawaida chaap tu msharudi jangwani. Ukame ule ule🤣🤣🤣🤣🤣
Vipi nyie mtaendelea kuchukua hizo bahasha au mtaacha kuchukua hizo bahasha za GSM
