Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Bora Mugalu abaki kuliko huyu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shauri Lenu [emoji3]Hawa Wastaafu mbona mnazidi kuwaongeza kwenye timu yetu!
Azam sijui wanafeli wapi
Huyo ni kama Ngushi na Nkane wa Yanga, wanarukaruka tuAngekuwa ni yule Habib Kiyombo wa Mbao Fc enzi hizo, ningesema Yes!
Ila kwa Habib Kiyombo huyu wa Mbeya Kwanza, kwa kweli nitasema No!
Kwa wachezaji wazawa, hao ndio mastaa wetu. Kumbuka kuna nafasi 12 tu za wageni na kati ya hao, ni wachezaji 8 tu wanaruhusiwa kuhusika katika mchezo mmoja wa Ligi ya Bara. Maana yake ni kwamba wachezaji wazawa wanatakiwa wawe wengi maana kuna nafasi zaidi ya 18 katika usajili wa wazawa na katika mchezo mmoja wa Bara unaweza ukawahusisha wachezaji kuanzia 1 hadi 18. Sasa hapo ndio uone umuhimu wa kusajili wachezaji wazawa, na wazawa wenyewe walio na unafuu ndio hawa hawa akina Kiombo na Kibu. Ndio maana usishangae pia kuona timu inasajili akina Nkane na NgushiUsajili huu mbona wakawaida sana!
Mchukue huyo kelvin Nashon halafu utakuja kunishukuru baadaeViungo wa kati.!
-Kelvin Nashon
-Azeez Andambwile
-Baraka Majogoro
--Hassan Nassoro
-Gustapha Simon
Mchezaji gan ungetamani timu yako imsajili