Mr.Junior
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 12,454
- 11,029
Kwa Rushwa zile na mbinu za kuwalaza wajumbe mitaroni bila msosi ili muwahonge lazima mshinde tu.Mpaka sasa hivi masoud inasemekana kashhinda.
Team lissu inazidi kupukutika
Mbinu chafu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Rushwa zile na mbinu za kuwalaza wajumbe mitaroni bila msosi ili muwahonge lazima mshinde tu.Mpaka sasa hivi masoud inasemekana kashhinda.
Team lissu inazidi kupukutika
Sasa kama mbinu hizo TunduALissu hamna. Mtaiweza ccm?Kwa Rushwa zile na mbinu za kuwalaza wajumbe mitaroni bila msosi ili muwahonge lazima mshinde tu.
Mbinu chafu.
Malaria imepanda kichwani?Sasa kama mbinu hizo TunduALissu hamna. Mtaiweza ccm?
ZiiiiiiTeam Lissu zii
Unateseka sanaMpaka sasa hivi masoud inasemekana kashhinda.
Team lissu inazidi kupukutika
CCM haisikiki tena.Nchi imesisimama!!!
Huyu ndio team nani? Timu Lisu au team Mbowe?Wakili Deogratias Mahinyila ameshinda Uchaguzi wa Mwenyekiti wa BAVICHA kwa kura 204 dhidi ya 112 za mpinzani wake.
Pia soma > Ushuhuda wa Deogratius Mahinyila, kijana aliyegombea Udiwani akaishia kushtakiwa kwa uhujumu Uchumi
Team LissuHuyu ndio team nani? Timu Lisu au team Mbowe?
Timu CHADEMA ujinga wenu wa ccm peleka kule.Huyu ndio team nani? Timu Lisu au team Mbowe?
BavichaHuyu ndio team nani? Timu Lisu au team Mbowe?
Ni nameless?Wakili Deogratias Mahinyila ameshinda Uchaguzi wa Mwenyekiti wa BAVICHA kwa kura 204 dhidi ya 112 za mpinzani wake.
Nimesoma wasifu wake anastahili, vijana wamechaguwa fungu jema.Malaria Sugu asubuhi aliteta uzushi kuwa huyu dogo ameshindwa vibaya.
Unaota ndoto, rudi tena uharishe huu uharo wakoTeam Lissu zii
Abdul JumbeTeamb Abdul juu
Hawa Bavicha ndio wanapiga kura za mwenyekiti wa chama au kuna uwakilishi tu wa wajumbe kadhaa?Ushindi wa 64% ndivo ambavyo Mbowe atachakazwa
Huyo mgonjwa wa zika ni wa kupuuzwa tuMalaria Sugu asubuhi aliteta uzushi kuwa huyu dogo ameshindwa vibaya.