Pre GE2025 Uzi maalumu wa matokeo Uchaguzi wa Baraza la Vijana (BAVICHA) na Baraza la Wazee (BAZECHA) na wanawake (BAWACHA) CHADEMA Taifa 2025

Pre GE2025 Uzi maalumu wa matokeo Uchaguzi wa Baraza la Vijana (BAVICHA) na Baraza la Wazee (BAZECHA) na wanawake (BAWACHA) CHADEMA Taifa 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mpaka sasa hivi masoud inasemekana kashhinda.
Team lissu inazidi kupukutika
Kwa Rushwa zile na mbinu za kuwalaza wajumbe mitaroni bila msosi ili muwahonge lazima mshinde tu.

Mbinu chafu.
 
Wakili Deogratias Mahinyila ameshinda Uchaguzi wa Mwenyekiti wa BAVICHA kwa kura 204 dhidi ya 112 za mpinzani wake.

Pia soma > Ushuhuda wa Deogratius Mahinyila, kijana aliyegombea Udiwani akaishia kushtakiwa kwa uhujumu Uchumi

Mahinyila.jpg

Mahinyila akiwa na Tundu Lissu​
 
Back
Top Bottom