Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Kuna niliowasikia wana shida za maguu hapa,
°Tafuteni saum
°chumvi ya mawe kidogo
°mafuta ya zaituni
CHANGANYENI.
Wakati wa kulala usiku chumvi miguu yenu KWA KUSIGINIA PAKAA NYAYONI KWA WENGI KABISA, UTAKAPO LALA UKIAMKA LETE JIBU UNAKANUSHA AU LAA, ENDELEA KWA SIKU 40
Shida huu uzi umeanza kuharibiwa watu wameanza kufundishana uchawi na kuita majini.

Anyway naendelea kujifunza..hasa mimea ya dawa.

#MaendeleoHayanaChama
Jiwe Angavu, MAZUNGUMZO BAADA YA KHABARI MUHIMU SANA,tunatumia 2% kwa kukremu tafiti za wengine na kusababisha kutofikirisha akili zetu si vibaya tuka tumia mpaka 5% kujazia mengi tusiyoyajua.
 
Shukurani kitabu nimekidownl, Ni kizuri sana japo kina page 28 tu,
HONGERA SANA MKUU.
 
Hakuna tabia ambayo iliponza watu kama ile ya kuudhuria ghafla za watu tusiowafahamu na kukuta umeandaliwa pilau safi yenye nyama tele bila kujua muandaaji anamalengo gani juu ya tafrija aliyoiandaa, wanyama kama mbuzi na ngombe huwezwa kuchinjwa kwa manuizi maalumu na kafara maalum kwa sababu maalumu na hakika ikaja kuyagharimu maisha yako yote "kwa dhiki kali utakazozipata bila kujua ufumbuzi wake"

Tusiruhusu vijana wetu kula kula hovyo katika majumba ya watu.

Tujifunze kwa nini watoto wa uswahilini hufyatuka hovyo, na wale wa geti huwa angalao ingawa wapo wanaokuwa wanafyatuka akili, Tuwakinge wenetu juu ya tabia mbaya ya kulakula ovyo kwa watu msiowaelewa vizuri.
 
Je kuna dawa yyte ya kutokukufanya usahau mambo kwa haraka ?
utakuta mtu anaambiwa kitu flani ila baada ya mda kidogo tu anakua ameshakisahau je kuna tiba juu ya hili?
 
Je kuna dawa yyte ya kutokukufanya usahau mambo kwa haraka ?
utakuta mtu anaambiwa kitu flani ila baada ya mda kidogo tu anakua ameshakisahau je kuna tiba juu ya hili?
Nusa mdalasini kila siku asubuhi na jioni, na pia jitahidi kunywa juice ya mdalasini kila siku walau kikombe kimoja.

Mdalasini unasaidia kuongeza uwezo wa kutunza kumbukumbu
 
Hili tatizo la kusahau kwani lina uhusiano na Dini?

kama ni dawa za kisunna we zitaje tu tutazifuatilia huko huko zinakouzwa
Nimeuliza kama ni muislam nimpe tiba ya kidini iliyoruhusiwa na ya uhakika, "aandike sura al imran mstari wa 7 na 8 auifadhi ataona maajabu yake!
 
asante sana kwa jibu lako chief ! mimi nimepata asthma ukubwani kabisa ila muda. Kuhusu maziwa ya punda je nakunywa kwa muda gani na kwa dar es salaam naweza kuyapata wapi? Na je utumiaji wa hayo maziwa ukoje ( i mean vipimo in case nayapata!)
AU pia tafuta Kokwa za embe kile kiini chake katakata kianike sehemu yenye jua la wastani kikikauka kisage unga wake changanya na maji moto uwe unakunywa asubuhi na jioni, jenga tu tabia hiyo utakuja hadithia hapa
 
NINAOMBA DAWA YA KUDHIBITI WEZI.
YAANI USIKU HUU WAMEFUNGUA MILANGO NA KUIBA NYUMBANI KWANGU. LEO NI MARA YA PILI WANAKUJA KUFANYA TUKIO HILO
NAOMBA DAWA IWE YA KICHAWI,KIGANGA NAOMBA MSAADA WA HARAKA.
 
Dawa ya mifupa kusagika naomba unielekeze
 
Unataka kujua siri za mpenzi wako ama mwenzi wako?? Hii hapa dawa yake
Kata mzizi wa mmbaazi ule unaolekea chini, Kata kwa manuizi ya kunuia sema nimekuja kukuchukua wewe mfichua siri, nenda, kafichue siri za fulani (unamtaja jina), Kisha muwekee kwenye mto anaolalia ataropokwa yote.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…