Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

DAMU YA HEDHI ISIYOKOMA

Chemsha mizizi ya mbaazi na ndimu3,unazipasua na unachemsha pamoja

Hakikisha inachemka vizuri
Kunywa nusu kikombe cha chai kutwa mara 3 kwa week 1......

Kisha njoo utupe mrejesho hapa
 
Okie
 
Ginseng ina supplement yake ,inauzwa 20 kama sikosei ,unameza mwezi mzima..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je Kwa mifugo kama mbwa kuku , ng'ombe,bata kuikinga isife au kupotea?kunayo dawa?
Inategemea mkuu, kama ni wanakufa kwa kideri la magonjwa ya mifugo ni vizuru ukafuata ushauri kwa wataalmu wa mifugo....

ila kama unahisi kuna mambo nje ya hapo, naamini zindiko la nyumba lingetosha kukulindia na mali zako unazomiliki pia
 
Bless
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…