Wamejimilikisha sio kumiliki madini ni ya Mwenyezi Mungu na unaweza ukayapata vizuri kwa kuyafukuza majini yaachie mali kwa kutumia nguvu, ya vitu, mimea nk na ukapata mali bila kwenda kwa mganga. Au kuwa mshirikina ukamkosea Mungu.Nimeshangaa tu hayo majini kumiliki madini halafu wanayapeleka wapi? Wanachimbaje ardhini?
SawaaMabadiliko yanaanza ukuaji wa tunda unapoendelea kila siku,hapo ndipo nimesema kunahitaji umakini wa hali ya juu hivyo unaweza kwenda na mtu unaemuamini ili kuepusha dharura ikikukuta wewe yeye awe anajua cha kufanya ili usitirike.
Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
Maji ya madafu + zabibu+ juisi ya miwa ila usiitie ndimu wala lomaoMatibabu ya homa ya Ini kama unajua nisaidie atumie nini? Ili kama ipo iishe kabisa
Kweli mkuu, sijaielezea bado, ingawa nilitoa mti mmoja wenye uwezo huo huko juu kabisaKaka ujaleta hii kitu bado niko nasubiria hapa
Kuna aina ya viazi ila si viazi tunaita hivyo kwenye tiba sababu inafanana na viazi kama unaonaga kuna vikamba kamba kwenye miti mikubwa havinaga shina kwa macho ya kawaida shina lake huwa linakua na kama kiazi hivi hii uchimbiwa kwenye uwanja kwa manuizi muda wa usiku ukiwa umefumba macho baada ya hapo umemaliza haitaonekana nyumba yako na wezi wala wanga,pia hii huchanjiwa wezi wale ambao wanaiba hawaonekani au wanaotafutwa anaemtafuta anafika anamuuliza huyo huyo mtu nilimuona fulani hapa muda si mrefu ameelekea wapi hutumika sana hivi viazi vya shinaJambo jingine pia wadau, ni hawa wezi hasa hasa wanaoiba/kupora majumbani kwa namna moja ama nyingine wanarudisha maisha ya watu nyuma sana kiuchumi.
Na kwa ujumla hawa watu hawafai kabisa, sasa kama kuna namna ya kufanya mfano; wasiwe na wazo kabisa kuhusu kaya/nyumba yako n.k.
Nawasilisha [emoji1666]
Asante sana Mkuu, Zabibu natengeneza juice ? Au anatakiwa ale yale matundaMaji ya madafu + zabibu+ juisi ya miwa ila usiitie ndimu wala lomao
Tengeneza juisi ya zabibu kwa kutumia maji ya madafu na miwa ni siku 3-5 kunakuwa na mabadiliko. Halafu ni vema na wengine mkapime mapema ina ambukiza kama mafua vile mkuuAsante sana Mkuu, Zabibu natengeneza juice ? Au anatakiwa ale yale matunda
Unamenya na kulisaga kwa blenda? ?Unamenya mkuu!
Mkuu shukrani sana kwa hii elimu! Nikuombe kwa niaba ya wadau hapa Jamvini kama unaweza kutuwekea picha ya hii mizizi [emoji120]Kuna aina ya viazi ila si viazi tunaita hivyo kwenye tiba sababu inafanana na viazi kama unaonaga kuna vikamba kamba kwenye miti mikubwa havinaga shina kwa macho ya kawaida shina lake huwa linakua na kama kiazi hivi hii uchimbiwa kwenye uwanja kwa manuizi muda wa usiku ukiwa umefumba macho baada ya hapo umemaliza haitaonekana nyumba yako na wezi wala wanga,pia hii huchanjiwa wezi wale ambao wanaiba hawaonekani au wanaotafutwa anaemtafuta anafika anamuuliza huyo huyo mtu nilimuona fulani hapa muda si mrefu ameelekea wapi hutumika sana hivi viazi vya shina
Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
Unakuta mti unakua na kamba kamba kama hizo huwa zina shina shina lake ndio huwa na hiko kiazi wengi huita mla ngamiaMkuu shukrani sana kwa hii elimu! Nikuombe kwa niaba ya wadau hapa Jamvini kama unaweza kutuwekea picha ya hii mizizi [emoji120]
Hizi huwa kama kamba kamba hutanda kwenye mitiMkuu shukrani sana kwa hii elimu! Nikuombe kwa niaba ya wadau hapa Jamvini kama unaweza kutuwekea picha ya hii mizizi [emoji120]
Inaambukizwa kwa njia ya hela sio, shukran sanaTengeneza juisi ya zabibu kwa kutumia maji ya madafu na miwa ni siku 3-5 kunakuwa na mabadiliko. Halafu ni vema na wengine mkapime mapema ina ambukiza kama mafua vile mkuu
Sawa sawa! Shukrani mkuuUnakuta mti unakua na kamba kamba kama hizo huwa zina shina shina lake ndio huwa na hiko kiazi wengi huita mla ngamia View attachment 2286995
Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
Sawa sawaHizi huwa kama kamba kamba hutanda kwenye mitiView attachment 2286997
Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
Mmh! Haya madini ni ya viwango vya juuHili hili toto la ndizi zile ndizi zake changa kabisa katika hilo toto ukizitwanga vizuri na kupata juice yake akinywa mwanamke mwenye kutokwa na hedhi bila kukoma itaacha baada ya kunywa juice hiyo
Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
Kwa kugusana ,kuvaliana nguo,vyombo vya chakulaInaambukizwa kwa njia ya hela sio, shukran sana