Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Nimeshangaa tu hayo majini kumiliki madini halafu wanayapeleka wapi? Wanachimbaje ardhini?
Wamejimilikisha sio kumiliki madini ni ya Mwenyezi Mungu na unaweza ukayapata vizuri kwa kuyafukuza majini yaachie mali kwa kutumia nguvu, ya vitu, mimea nk na ukapata mali bila kwenda kwa mganga. Au kuwa mshirikina ukamkosea Mungu.
 
Jambo jingine pia wadau, ni hawa wezi hasa hasa wanaoiba/kupora majumbani kwa namna moja ama nyingine wanarudisha maisha ya watu nyuma sana kiuchumi.

Na kwa ujumla hawa watu hawafai kabisa, sasa kama kuna namna ya kufanya mfano; wasiwe na wazo kabisa kuhusu kaya/nyumba yako n.k.
Nawasilisha [emoji1666]
Kuna aina ya viazi ila si viazi tunaita hivyo kwenye tiba sababu inafanana na viazi kama unaonaga kuna vikamba kamba kwenye miti mikubwa havinaga shina kwa macho ya kawaida shina lake huwa linakua na kama kiazi hivi hii uchimbiwa kwenye uwanja kwa manuizi muda wa usiku ukiwa umefumba macho baada ya hapo umemaliza haitaonekana nyumba yako na wezi wala wanga,pia hii huchanjiwa wezi wale ambao wanaiba hawaonekani au wanaotafutwa anaemtafuta anafika anamuuliza huyo huyo mtu nilimuona fulani hapa muda si mrefu ameelekea wapi hutumika sana hivi viazi vya shina

Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
 
Manjano au (turmeric) ni kiungo au mzizi wenye property za panadol, au hupooza maumivu ya mwili, tunaweza kutumia kiungo hiki badala ya kunywa panadol, kila mara, ni Bora tukatumia manjano kwa kuchanganya na maziwa, kwani property zake pia huponya kifua kwa asilimia 100%.
°Nchini india watu hunywa mchanganyiko huu mara moja kwa mwaka kama kinga ya magonjwa ya kifua. /Kwa tiba kunywa mara kwa mara.
 
Kuna aina ya viazi ila si viazi tunaita hivyo kwenye tiba sababu inafanana na viazi kama unaonaga kuna vikamba kamba kwenye miti mikubwa havinaga shina kwa macho ya kawaida shina lake huwa linakua na kama kiazi hivi hii uchimbiwa kwenye uwanja kwa manuizi muda wa usiku ukiwa umefumba macho baada ya hapo umemaliza haitaonekana nyumba yako na wezi wala wanga,pia hii huchanjiwa wezi wale ambao wanaiba hawaonekani au wanaotafutwa anaemtafuta anafika anamuuliza huyo huyo mtu nilimuona fulani hapa muda si mrefu ameelekea wapi hutumika sana hivi viazi vya shina

Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
Mkuu shukrani sana kwa hii elimu! Nikuombe kwa niaba ya wadau hapa Jamvini kama unaweza kutuwekea picha ya hii mizizi [emoji120]
 
Mkuu shukrani sana kwa hii elimu! Nikuombe kwa niaba ya wadau hapa Jamvini kama unaweza kutuwekea picha ya hii mizizi [emoji120]
Unakuta mti unakua na kamba kamba kama hizo huwa zina shina shina lake ndio huwa na hiko kiazi wengi huita mla ngamia
images%20(25).jpg

Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
 
NGESI

Hii Ngesi ina tiba nyingi nyingi na lukuki nitakuja kuzitoa hapa nikipata wakati mzuri kutulia, ila kwa wenye mirija iliyopata ziba hii inazibua, inasafisha mkojo kuliko kawaida hata ukiwa na UTI ni chap Inakwenda, inaongeza hamu ya kula, kibofu kinasafichwa, hamu ya kula na mengine naamini kufikia weekend nitaleta maelezo yake hapa wakuu!!!
 
Back
Top Bottom