Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Iyo manemane na zamda ndo zipi mkuu
 
TYK ndugu zangu,ndugu yangu anasumbuliwa na henia jmn nisaidien tiba
 
TYK ndugu zangu,ndugu yangu anasumbuliwa na henia jmn nisaidien tiba
Hernia is so complicated mkuu,zipo zinazoitaji operation mfano zipo pumbu inakuwa IPO ndani, zipo mishipa imejifunga kwa ndani, wakati wa baridi pumbu huwa na tabia ya kujificha ndani wakati inataka kurudi ili kukontro joto inashindwa maumivu Yake sio mchezo,kwa hernnia hospitality ya kisarawe ndio yenye mabingwa wa hizi issue,na huwa si aghali.
 
Ni kweli aliaMbiwa operation ila nlidhan humu ntapewa msaada zaid ya operation
 
Wakuu kher naomba mwenye kufahamu dawa au tiba ya vichomi tafadhar anisaidie
 
Naomba tiba ya mtu anayesumbuliwa na pressure
Pressure ya kushuka Haina dawa labda uwe mpenzi wa kawahawa inasaidia kuipandisha, Pressure ya kupanda tumia mizizi ya miwa kwa kuchemsha na kunywa kwa muda wa siku moja mpaka ipande tena ndo utumie maana inashusha kwa haraka pressure hivyo siyo vizuri kutumia kwa muda mrefu.
 
Ni kweli aliaMbiwa operation ila nlidhan humu ntapewa msaada zaid ya operation
Kama bado ipo stage ya kwanza anaweza kuiwahi lakini kama kitu kimeshapotea mpaka operation, atumie mkunde pori majani yake achemshe kama chai anywe kikombe cha kawaha mara tatu kwa siku kwa siku tatu, akimaliza atumie mzizi wa mnyonyo au mbarika ile nyekundu nayo nikuchemsha na kunywa mara mbili kwa muda wa siku tano anapona.
 
Kama kuna mtu ana afya ya kusuasua, mwili uliokondeana, chukua matunda ya muegeya yakaushe kisha saga na tumie kama lishe kila siku kijiko kimoja cha chakula kwenye uji halafu njoo na majibu yetu hapa mkuu.
Mugeya ndio mti gan
 
Wandugu naomba dawa ya Amiba sugu inakwenda na kurudi.
 
Mtafute chura, afu amkojoleee..


Hii ilinitesa sana hadi niko Form 4 ndio nikafanikiwaa baada ya huyo mzee kunielekezaa

Yani akiamka asubuhi, ule mkojo wa kwanza ndio amkojolee chura... then asema sitakojolea tena kitanda.....
Mwongo we jamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…