Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
- Thread starter
- #861
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iyo manemane na zamda ndo zipi mkuuDAWA YA U.T.I SUGU NA YENYE KUJIRURUDIARUDIA;-
MAHITAJI
Mchaichai
Vitunguu swaumu viwili
Vitunguu maji viwili
Manemane vijiko viwili
Tangawizi ndogo 5 zikiwa kubwa chukua 3
Unga wa mbegu za mlonge vijiko 3
Mbegu za Zamda vijiko 2
Mdalasini wa magome kiasi
Shubiri nusu kijiko cha chakula au kijiko kimoja cha chai
Changanya mchanganyo huo kwenye maji lita 3 chemsha mpaka ibakie lita mbili au mbili na nusu kisha chuja vizuri.
MATUMIZI;- kunywa kikombe cha kahawa Asubuhi kabla hujala chochote ,mchana na jioni (kutwa mara 3
mpaka itakapoisha
Zipo kwenye maduka ya dawa mkuu haswa kariakoo!Iyo manemane na zamda ndo zipi mkuu
Ngoja nije niulizie mwanza kama zinapatikanaZipo kwenye maduka ya dawa mkuu haswa kariakoo!
Hernia is so complicated mkuu,zipo zinazoitaji operation mfano zipo pumbu inakuwa IPO ndani, zipo mishipa imejifunga kwa ndani, wakati wa baridi pumbu huwa na tabia ya kujificha ndani wakati inataka kurudi ili kukontro joto inashindwa maumivu Yake sio mchezo,kwa hernnia hospitality ya kisarawe ndio yenye mabingwa wa hizi issue,na huwa si aghali.TYK ndugu zangu,ndugu yangu anasumbuliwa na henia jmn nisaidien tiba
Ni kweli aliaMbiwa operation ila nlidhan humu ntapewa msaada zaid ya operationHernia is so complicated mkuu,zipo zinazoitaji operation mfano zipo pumbu inakuwa IPO ndani, zipo mishipa imejifunga kwa ndani, wakati wa baridi pumbu huwa na tabia ya kujificha ndani wakati inataka kurudi ili kukontro joto inashindwa maumivu Yake sio mchezo,kwa hernnia hospitality ya kisarawe ndio yenye mabingwa wa hizi issue,na huwa si aghali.
Pressure ya kushuka Haina dawa labda uwe mpenzi wa kawahawa inasaidia kuipandisha, Pressure ya kupanda tumia mizizi ya miwa kwa kuchemsha na kunywa kwa muda wa siku moja mpaka ipande tena ndo utumie maana inashusha kwa haraka pressure hivyo siyo vizuri kutumia kwa muda mrefu.Naomba tiba ya mtu anayesumbuliwa na pressure
Kama bado ipo stage ya kwanza anaweza kuiwahi lakini kama kitu kimeshapotea mpaka operation, atumie mkunde pori majani yake achemshe kama chai anywe kikombe cha kawaha mara tatu kwa siku kwa siku tatu, akimaliza atumie mzizi wa mnyonyo au mbarika ile nyekundu nayo nikuchemsha na kunywa mara mbili kwa muda wa siku tano anapona.Ni kweli aliaMbiwa operation ila nlidhan humu ntapewa msaada zaid ya operation
Mugeya ndio mti ganKama kuna mtu ana afya ya kusuasua, mwili uliokondeana, chukua matunda ya muegeya yakaushe kisha saga na tumie kama lishe kila siku kijiko kimoja cha chakula kwenye uji halafu njoo na majibu yetu hapa mkuu.
Lantana Camara...utatibu nn mkuu
Mshika nguo nao vp??
Magonjwa mengi ya ngozi mafangus na mengi tu.Lantana Camara...utatibu nn mkuu
Ok! Ngoja niufatilie mana huu mme nlisoma kama moja ya mimea ambayo ni toxic kwa wanyamaMagonjwa mengi ya ngozi mafangus na mengi tu.
Property zake ni antibacterial.
Mkuu tupe ufafanuzi m naona picha za majani tu
Mwongo we jamaa.Mtafute chura, afu amkojoleee..
Hii ilinitesa sana hadi niko Form 4 ndio nikafanikiwaa baada ya huyo mzee kunielekezaa
Yani akiamka asubuhi, ule mkojo wa kwanza ndio amkojolee chura... then asema sitakojolea tena kitanda.....