Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Naomba kujuzwa mmea au namna ya kutibu Uti ya muda mrefu...ukiweka na picha ntashukuru zaid
 
Naomba kujuzwa mmea au namna ya kutibu Uti ya muda mrefu...ukiweka na picha ntashukuru zaid
UTI sugu mkuu unachemsha vitunguu maji kadhaa kuanzia 4 unachuja alafu yale maji unatumia kikombe unaweka nusu kjiko cha bicarbonate of soda ile maarfu kama chapa simba yenye box la rang ya blue na red ktwa mara 2 ndani ya wiki moja

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Shukran mkuu...!!
 
Mim linisadia sana Hilo niliumwa hadi nikawa napoteza kumbukumbuku mzee aliyekua ananitibia alivyogundua nasahau sana akawa ananipeleka porini kwenda kulitafuna hadi Leo kumbukumbuku zilirudi sababu ya Hilo dude ndio maana Huwa silisahau kirahisi
Nalitamani sana, I wish nilipande home kwangu
 
Naomba Dawa ya Tatizo La Mafua Yasiyoisha, Hospitali Baada ya Vipimo wakasema sababu ni nyama za Pua. Shida Ni Katika Kipindi cha Baridi, Sehemu zenye Vumbi au sehemu zenye uchafu sana.
 
Sawa mkuu
 
Mkuu tupeni remedy ya mapele ya ndevu, tunawashukuru
Mimi nilikuwa muhanga wa tatizo hili kwa zaidi ya miaka kumi, Nikaponea You tube kwa mdada fulani alikuwa anafundisha tiba simple sana.
Chukua Colgate ile dawa ya mswaki, Kisha chukua maji ya limao na mafuta ya nazi, changanya hadi upate mchanganyiko mzuri. Vipimo iwe ni ujazo sawa kwa kila kimoja. Kisha nyoa ndevu zako vizuri then upake kwa siku saba. Vipele vyote vitaisha. After that kila ukinyoa uwe unaitumia hiyo kama after shave yako kwa ile siku ambayo umenyoa na asubuhi yake. Ukipaka unakaa nayo dakika ishirini hadi nusu saa then unaosha kwa maji safi ya moto.

Mi nimetumia na nimepona kabisa mapele sumbufu ya ndevu. Kumbuka kila unapotumia uitengeneze upya. So unapotengeza iwe ni kidogo tu ya kutosha muda huohuo. Vipimo unaweza tumia nusu kijiko cha chai kwa kila moja au kijiko kimoja cha chai kwa kila kiungo.
 
Pia waweza changanya mafuta ya nazi na unga wa karafuu ukawa unapaka, kidevu kitageuka kama cha school boy.
 
Ngiri labda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…