Watu wenye shida ya kushika mimba, watu wenye maumivu ya tumbo wakati wa hedhi.Kuna mtu aliwahi kuniambia mmea huu ni dawa ya maradhi mengi mno naomba mwenye kuufahamu atujuze
View attachment 2265827
Kijiko kimoja cha karafuu ya unga kwenye gras ya maziwa ni tiba ya magonjwa haya waweza ongeza na turmeric kidogo kwa tiba bora zaidi.
[emoji818]Tiba ya uzazi (ugumba)
[emoji818]Tiba ya homon kuto kuwa sawa
[emoji818]Tiba ya moyo
[emoji818]Tiba ya tumbo
[emoji818]Tiba ya ini
[emoji818]Tiba ya mapafu
[emoji818]Tiba ya pumu
[emoji818]Tiba ya mafua
[emoji818]Tiba ya kikohozi sugu
[emoji818]Tiba ya pua zilizo ziba
[emoji818]Tiba y kukosa kumbukumbu na kuto kuelewa
[emoji818]Tiba ya ges tumbon na utumbo
[emoji818]Tiba ya udhaifu wa misir
[emoji818]Tiba ya upongufu wa.madini
[emoji818]Tiba ya kibofu cha mkojo na mkojo kutoka bila ya hiyar
[emoji818]Tiba ya meno na fidhi (pia ni kinga)
[emoji818]Tiba ya macho (maono hafifu)
[emoji818]Tiba ya chunus
[emoji818]Tiba ya uvimbe wa ngozi na kumwa na mdudu
[emoji818]Tiba ya kudhibiti kiwango cha sukar ya damu na kudumisha viwango vyake
[emoji818]Tiba ya kuongeza ute kwenye maungio ya mifupa
[emoji818]kinga dhidi ya saratan
[emoji818]Tba ya baridi bronchitis Koo iliyo na dawa ya kulevya na tonsillitis
[emoji818]Tiba ya hemorrhoids na analitis
Maziwa fresh motoBro ni maziwa fresh au mtimdi
Bro ni maziwa fresh au mtimdi
Maziwa fresh
Maziwa fresh moto
Inatumikaje kwa wenye uhitaji wa kushika mimba?Watu wenye shida ya kushika mimba, watu wenye maumivu ya tumbo wakati wa hedhi.
Sawa, je unakunywa kwa kipimo kipi?Unakunywa week moja kabla ya kuingia siku za hatari
Eeeeeh! Hebu ziweke wazi hapa mkuuKuna àina 32 za mtu kuchukuliwa Msukule,si kila anayechukuliwa Ni mgomba huwekwa ,kuna comptent wachawi katika kazi zao ,hawabahatishi.
Uko moro mjini maeneo gani, niko mjni pia.LEO TUANGALIE, NI JINSI GANI UNAWEZA KUMUOKOA MTU ALIYEKUFA KIMAZINGAOMBWE (MSUKULE)
Kila Chenye Uhai, Hakika Kitakufa, Hili Hakuna Wa Kulipinga .
Lakini, Kuna Baadhi Ya Vifo Huwa Vinatatanisha Sana!
Waweza Kuta Mtu Amekufa, Ana Siku 3, Lakini Ukimgusa, Bado Ana Joto!
Mwingine Hata Kutingishika, Anatingishika!
JINSI YA KUMRUDISHA MTU ALIYEKUFA KIMAZINGAOMBWE (MSUKULE):
Ukiona Mtu Kafa Kifo Kinachotatanisha, Mkahisi Yaweza Kuwa Ni Msukule, Msimlilie, Wala Msimuoshe, Fanya Hivi:
Nenda Kwenye Mgomba, Chukua Kamba Tatu Za Mgomba, Kisha Nenda Alipolazwa Marehemu.
Kirha Muweke Kama Inavyowekwa Maiti Kwenye Sanda, Tumia Shuka Nyeupe, Kisha Funga Kama Ifungwavyo Maiti, Kisha Sema:
BISMILLAHI RAHMANI RAHIIM: NAKUOMBA MWENYEEZI MUNGU KWA UWEZO WAKO NA NGUVU ULIYOIWEKA KWENYE MGOMBA, NIONESHE KILICHOLALA HAPA JUU.
Ikiwa Ni Msukule, Papo Hapo Mtaona Mabadiliko, Marehemu Hataonekana, Litabaki Limgomba !
Mkimtafuta Huyo Marehemu, Mtamuona Hapo Hapo Nyumbani, Tena Lazima Atakuwa Nyuma Ya Mlango!
Mchawi Atakimbia
Kalibuni morogoro mjini ndugu zangu [emoji1431]
Mkunde pori ndo upi jamani, wekeni hata picha bassiMkunde pori mamy,chemsha mizizi kunywa ukiwa period then sku za hatar fanya matusi na mumeo af subr matokeo
Mkunde pori ndo upi jamani, wekeni hata picha bassi
Nipo Rock garden njia ya kwenda water force.Uko moro mjini maeneo gani, niko mjni pia.
Nimetolea mfano wa mgomba tu mkuu ila hi njia ata wachukue kwa stail gan inaleta majibu chap tu na kilicho wekwa apo kitaoneka uwe mgomba ama laa na nimeshasaidia watu watatu kwa njia hii mkuu,ivyo najua ninacho kisema🙏🏽Kuna àina 32 za mtu kuchukuliwa Msukule,si kila anayechukuliwa Ni mgomba huwekwa ,kuna comptent wachawi katika kazi zao ,hawabahatishi.
Mkuu Elimu ya kiroho yafaa kufuatwa kiroho
Amepima Kansa ya ziwa,moja Ni hiyo daliliNini Dawa ya maumivi ya Ziwa la mama na pia kuna kuwa na kama uvimbe kwa ndani
Yanaitwaje na yanapitikana wapi haya majani maana mtoto ananisumbua kweliTiba kwa mtoto asiye penda kula/uchovu.
Chemsha majani ya derega kisha mnyweshe 1×2 kwa mda wa siku 7 atapona na tatizo la mototo kukataa kula au uchovu utaskia kwa majirani tu.
View attachment 2386788
Yanaitwaje haya majani na yanapitikana wapi? Nina mtoto anadhoofu sana na hataki kula kabisa Magical power ,CrocodiletoothTiba kwa mtoto asiye penda kula/uchovu.
Chemsha majani ya derega kisha mnyweshe 1×2 kwa mda wa siku 7 atapona na tatizo la mototo kukataa kula au uchovu utaskia kwa majirani tu.
View attachment 2386788
Mzambarau huuhuu wa kawaida mkuu?Kuna mti unaitwa mzambarau,chukua mizizi yake, chemsha kunywa glasi mbili moja na ya pili jioni,once ,Kila wiki nenda kapime sukari,inaleta matokeo kwa haraa mno.
Huu huu unaotoa zambarau chemsha mzizi wake utakuja na feedback'sMzambarau huuhuu wa kawaida mkuu?