Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

KUFUNGUA KILA KITU.
Kuna watu katika mambo yao yamefungika Kila
jambo wanalofanya matokeo yake ni kumaliza mu-
da na kuingia Katika hasara na majonzi.
Ukitaka kufungua mambo yako na ufanye kazi zako
kwa uwezo wake mwenyezi mungu Kila kitu kiende
sawa.
Soma surat Fatha mara Saba kabla ya Kulala
ukiamka soma majina haya mara kumi يا فتاح يا رزاق
Unapokuwa unalala sharti lala ukiwa na udhu wako
usiongee na mtu mpaka asubuhi ni funguo ya aja-
bu.
unaweza kuomba kujifugua
maradhi,kipata,ndoto,ndoa,baraka na nk mujarra-
bu sana.
Miongoni mwa njia nzuri na nyepesi ya kufungua
mambo hii mujarra bu sana.
Utaenda kuchukua mti huu kuanzia mzizi na majani
yake chemsha Kwa pamoja.
Mpe mgonjwa wako atapona haraka Sana Kwa
uwezo wake mwenyezi mungu.
Utakuwa una kunywa mara tatu Kwa siku Saba .
Dawa hii inaweza mpa mgonjwa ana harisha
(kuendesha)damu kabisa.
Mpe mtu aliye kula chakula kimezidi kiwango tum-
bo Lina muuma akinywa dawa hii baada ya masaa
machache kabisa atakuwa yupo vizuri Kwa uwezo
wake mwenyezi mungu.
KUJIFUNGUA KWA HARAKA.
Mwanamke mwenye ujauzito amepitiliza miezi
yake kujifungua mpe kivumbasi utajifunguaharaka .
Nenda kango`e mti huu wote kuanzia majani na
mizizi yake ukiludi nyumbani kwako.
Utachemsha Kwa pamoja uje mpe mgonjwa wako

By magical power
 
kaka ungetumia kiswahili tungepata faida nyingi zaidi maana tungeelewa kiundani hasa
 
Aisee hii naomba mbegu zake nipande huku Dar. Nafikiri nauhitaji huu. Naweza kupata wapi?
 
 
Wenye utalaam wa mvuto wa biashara mko wapi?? Yaani ile sawa ya kujaza nyomi
 
Kombucha scoby. scoby- symbiotic culture of bacteria and yeast
a.k.a chapati ya kichina

Juice yake inasaidia/ kutibu maradhi mbalimbali ikiwemo shinikizo la damu, vidonda vya tumbo, kisukari n.k. n.k

Unachanganya chai ya rangi na scoby baada ya wiki moja unapata juice saafi
 

Attachments

  • Screenshot_20230211-164544.png
    926.5 KB · Views: 15
Mwenye kijua dawa ya minyoo sugu iliyoshindikana kwa dawa zote za kisasa na baadhi ya dawa za asili.
 
Kaka hii kuna siku niliifanya ,nkaenda mjini nkatoa elfu 50 ,kufika nyumban najisachi nina laki hii nimeshuhudia ,ila nimerudia wiki hamna kitu
Ivi vitu tunafundisha umu watu wanaona kama mzaha vile.
Asante kwa ushuhuda🙏🏽
 
WALE PESA ZIMEWAKATAA, MNAUGOMVI NA PESA TUFUNGUE MILANGO YA PESA, TAFUTA SARAFU ZA SHILINGI MIA KAMA KUMI HIVI ZICHEMSHE KWENYE MAJI HAKIKISHA UMEWEKA CHUMVI KIJIKO KIMOJA NA JIVU LA MKAA KIJIKO KIMOJA YAKICHEMKA CHANGANYA NAMAJI YA KUOGA OGEA NUIA MILANGO YA PESA IFUNGUKE HIZO SARAFU NENDA KAZITUPE NJIA PANDA FANYA HIVYO SIKU TATU MFULULIZO UJE NA MREJESHO.
 
Hizo
 
Hizo sarafu kila siku unazichemsha kumi na kuzitupa zote kwa kila siku
 
Habari wanajukwaa ninatatizo LA macho yanauma kwenye mwanga mkali au jua Kali msaada wenu naweza kutumia dawa gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…