Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

KUFUNGUA KILA KITU.
Kuna watu katika mambo yao yamefungika Kila
jambo wanalofanya matokeo yake ni kumaliza mu-
da na kuingia Katika hasara na majonzi.
Ukitaka kufungua mambo yako na ufanye kazi zako
kwa uwezo wake mwenyezi mungu Kila kitu kiende
sawa.
Soma surat Fatha mara Saba kabla ya Kulala
ukiamka soma majina haya mara kumi يا فتاح يا رزاق
Unapokuwa unalala sharti lala ukiwa na udhu wako
usiongee na mtu mpaka asubuhi ni funguo ya aja-
bu.
unaweza kuomba kujifugua
maradhi,kipata,ndoto,ndoa,baraka na nk mujarra-
bu sana.
Miongoni mwa njia nzuri na nyepesi ya kufungua
mambo hii mujarra bu sana.
Utaenda kuchukua mti huu kuanzia mzizi na majani
yake chemsha Kwa pamoja.
Mpe mgonjwa wako atapona haraka Sana Kwa
uwezo wake mwenyezi mungu.
Utakuwa una kunywa mara tatu Kwa siku Saba .
Dawa hii inaweza mpa mgonjwa ana harisha
(kuendesha)damu kabisa.
Mpe mtu aliye kula chakula kimezidi kiwango tum-
bo Lina muuma akinywa dawa hii baada ya masaa
machache kabisa atakuwa yupo vizuri Kwa uwezo
wake mwenyezi mungu.
KUJIFUNGUA KWA HARAKA.
Mwanamke mwenye ujauzito amepitiliza miezi
yake kujifungua mpe kivumbasi utajifunguaharaka .
Nenda kango`e mti huu wote kuanzia majani na
mizizi yake ukiludi nyumbani kwako.
Utachemsha Kwa pamoja uje mpe mgonjwa wako

By magical power
 
No wonder this grass went viral all over the social media. With its endless health benefits, it is truly God’s gift to mankind. We can find this weed almost everywhere throughout the Philippines and mostly in warm countries.

This grass is widely spread along river banks, settled areas and even along roads! And because of our ignorance about the abundance of its uses, it is normally ignored by many.

Many people have testified about how amazing and effective this grass is in treating common and severe illnesses. Now, we present to you the reasons behind the buzz.

What are the Health Benefits of Paragis?
# Paragis is widely used in Africa as an alternative medicine to different kinds of illnesses.
Aeta people from Porac, Pampanga used burnt dried leaves of Paragis as a repellent against insects.

Leaves of Paragis contain silicon monoxide, calcium oxide, and chlorine.

Dried leaves contain protein.

Many declared it to be anti-inflammatory, a natural antihistamine, a natural diuretic, antidiabetic, an effective anti-oxidant and has cytotoxic properties.

Parts of Paragis that Can Be Used as a Herbal Medicine Leaves

Drinking boiled leaves of Paragis or making a Paragis Tea will ease several pains and illnesses. You can also patch the minced or pulverized leaves on some conditions.

Stems
Boil the stem with leaves to achieve more effective results

Roots
Drinking boiled roots can also cure several illnesses.
Health Conditions That Can Be Cured by Paragis

# Cancer
Because of this plant’s antioxidant properties, this can lower the risk of growing cancer cell in your body.

# Ovarian Cyst and Myoma
Patients with ovarian cyst conditions have proven that drinking Paragis tea in a daily basis has made the cyst completely disappear.

# Kidney Problems
Paragis is a natural diuretic which increases the amount of water in our body and expells salt as urine.

# Arthritis
Heat pounded leaves mixed with scraped coconut. Patch and bandage on the affected area.

# Diabetes
Drink Paragis tea regularly and say goodbye to diabetes.

# Wounds
Apply decoction to wound to stop the bleeding.

# Parasitism
Paragis is a strong laxative that can flush out worms and parasites from your stomach.

# Urinary Tract Infection
You may stop taking antibiotics and start drinking boiled leaves to immediately cure UTI

# Hypertension
Lower the risk of high blood pressure by drinking boiled leaves and stems of Paragis.

# Fever
You won’t be needing any medication to reduce your temperature. Just drink boiled roots of Paragis for faster and more effective results.

# Sprain (Pilay)
To have an instant relief from a sprain, patch some minced leaves on the affected area.

# Dandruff
Reduce the appearance of dandruff. Mix minced leaves and stems with coconut oil. Use it as a shampoo and gently massage it on your scalp. It can also stop hair fall and help your hair grow back to its original thickness.

# Dysentery
This is a type of gastroenteritis that results in diarrhea with blood. Drink boiled roots of Paragis to ease this alarming condition.

#Other Illnesses that Can Be Cured By Paragis:
  • Asthma
  • Hemoptysis
  • Bladder Disorders
  • Liver Problems
  • Jaundice
  • Malaria
  • Infertility in Women
  • Epilepsy
N. B, Tutupie tiba tunazozifahamu za kiasili kwa mimea inayotuzunguka,
KARIBUNI TUSAIDIANE.



Haya ni majani yaliyotuzunguka majumbani mwetu ndiyo yanayoitwa # Paragis grass as mentioned in thread aboveView attachment 2264759View attachment 2902262
kaka ungetumia kiswahili tungepata faida nyingi zaidi maana tungeelewa kiundani hasa
 
View attachment 2894441Mchunga ( Dandelion) ni mmea wenye faida nyingi sana Binadam. Hapa Tanzania unapatikana porini na majumbani kama maua.
MCHUNGA ni mmea unafaha na kutibu maradhi mbalimbali kama vile;
  • Matatizo ya mifupa
  • kukosa damu
-matatizo ya mkojo
-kisukali
- Figo
-Ini
-Kansa ya damu
  • kansa ya umbo
  • kansa ya kongosho
  • kansa ya matiti

MATUMIZI
Tengeneza chai kutokana na Mizizi yake na kunywa mara 2 kwa siku.
Tumia Unga wa Mizizi kupaka kwenye ngozi yenye shida.
Kunywa kinywaji cha juice ya majani au Mizizi ya MCHUNGA.View attachment 2894462View attachment 2894464View attachment 2894460
Aisee hii naomba mbegu zake nipande huku Dar. Nafikiri nauhitaji huu. Naweza kupata wapi?
 
kaka ungetumia kiswahili tungepata faida nyingi zaidi maana tungeelewa kiundani
kaka ungetumia kiswahili tungepata faida nyingi zaidi maana tungeelewa kiundani hasa
Hii ni ajabu jinsi mimea hii imeenea sana kwenye mitandao ya kijamii. Kwa manufaa yake mengi ya kiafya, ni kweli zawadi ya Mungu kwa wanadamu. Tunaweza kupata mmea huu karibu kila mahali nchini Ufilipino na hasa katika nchi zenye joto.

Mmea huu umesambaa sana kando ya mito, maeneo yaliyojengwa, na hata kando ya barabara! Na kwa sababu ya ujinga wetu kuhusu matumizi yake mengi, kawaida hupuuziwa na wengi.

Watu wengi wamekiri jinsi mmea huu ulivyo wa kushangaza na wenye ufanisi katika kutibu magonjwa ya kawaida na hata makubwa. Sasa, tunakuletea sababu za umaarufu wake.

### Manufaa ya Kiafya ya Paragis
  • Paragis inatumiwa sana barani Afrika kama tiba mbadala kwa aina mbalimbali za magonjwa.
  • Watu wa jamii ya Aeta kutoka Porac, Pampanga walitumia majani ya Paragis yaliyokauka kama kinga dhidi ya wadudu.
  • Majani ya Paragis yana silicon monoxide, calcium oxide, na chlorine.
  • Majani yaliyokaushwa yana protini.
  • Wengi wamethibitisha kuwa ni ya kupunguza uvimbe, antihistamine ya asili, diuretic ya asili, antidiabetic, antioxidant yenye ufanisi, na ina sifa za cytotoxic.

### Sehemu za Paragis Zinazoweza Kutumika Kama Dawa ya Mitishamba
  • Majani: Kunywa majani yaliyochemshwa au kutengeneza chai ya Paragis itapunguza maumivu na magonjwa kadhaa. Unaweza pia kuweka majani yaliyosagwa kwenye hali fulani.
  • Mishipa: Chemsha shina na majani kwa matokeo bora zaidi.
  • Mizizi: Kunywa mizizi iliyochemshwa inaweza pia kutibu magonjwa kadhaa.

### Magonjwa Ambayo Yanaweza Kutibiwa na Paragis
  • Saratani: Kwa sababu ya sifa za antioxidant za mmea huu, inaweza kupunguza hatari ya ukuaji wa seli za saratani mwilini mwako.
  • Cysti ya Ovari na Myoma: Wagonjwa walio na hali ya cysti ya ovari wamethibitisha kuwa kunywa chai ya Paragis kila siku kumefanya cyst hiyo kupotea kabisa.
  • Matatizo ya Figo: Paragis ni diuretic ya asili ambayo huongeza kiasi cha maji mwilini na kutoa chumvi kama mkojo.
  • Arthritis: Pasha moto majani yaliyopondwa kisha changanya na nazi iliyokunwa. Weka na funga kwenye sehemu iliyoathirika.
  • Kisukari: Kunywa chai ya Paragis mara kwa mara na uaga kisukari.
  • Majeraha: Tumia decoction kwa jeraha kuzuia damu kuvuja.
  • Minyoo: Paragis ni laxative yenye nguvu inayoweza kutoa minyoo na vimelea kutoka tumboni mwako.
  • Maambukizi ya Njia ya Mkojo (UTI): Unaweza kuacha kutumia antibiotics na kuanza kunywa majani yaliyochemshwa ili kutibu UTI haraka.
  • Shinikizo la Damu: Punguza hatari ya shinikizo la damu kwa kunywa majani na shina zilizochemshwa za Paragis.
  • Homa: Huhitaji dawa yoyote ya kupunguza joto la mwili. Kunywa mizizi ya Paragis iliyochemshwa kwa matokeo ya haraka na yenye ufanisi.
  • Kuanguka kwa Viungo (Pilay): Ili kupata nafuu haraka kutokana na kuanguka kwa viungo, weka majani yaliyopondwa kwenye sehemu iliyoathirika.
  • Dandruff: Punguza mwonekano wa dandruff. Changanya majani na shina zilizopondwa na mafuta ya nazi. Tumia kama shampoo na masaji polepole kwenye kichwa chako. Pia inaweza kuzuia nywele kudondoka na kusaidia nywele zako kurudi katika unene wake wa awali.
  • Dysentery: Hii ni aina ya gastroenteritis inayosababisha kuharisha na damu. Kunywa mizizi ya Paragis iliyochemshwa kupunguza hali hii ya hatari.

### Magonjwa Mengine Ambayo Yanaweza Kutibiwa na Paragis:
  • Pumu
  • Kutokwa na Damu kwa Ndani
  • Matatizo ya Kibofu
  • Matatizo ya Ini
  • Homa ya Njano
  • Malaria
  • Utasa kwa Wanawake
  • Kifafa
 
Wenye utalaam wa mvuto wa biashara mko wapi?? Yaani ile sawa ya kujaza nyomi
 
Kombucha scoby. scoby- symbiotic culture of bacteria and yeast
a.k.a chapati ya kichina

Juice yake inasaidia/ kutibu maradhi mbalimbali ikiwemo shinikizo la damu, vidonda vya tumbo, kisukari n.k. n.k

Unachanganya chai ya rangi na scoby baada ya wiki moja unapata juice saafi
 

Attachments

  • Screenshot_20230211-164544.png
    Screenshot_20230211-164544.png
    926.5 KB · Views: 15
Mwenye kijua dawa ya minyoo sugu iliyoshindikana kwa dawa zote za kisasa na baadhi ya dawa za asili.
 
Kaka hii kuna siku niliifanya ,nkaenda mjini nkatoa elfu 50 ,kufika nyumban najisachi nina laki hii nimeshuhudia ,ila nimerudia wiki hamna kitu
Ivi vitu tunafundisha umu watu wanaona kama mzaha vile.
Asante kwa ushuhuda🙏🏽
 
WALE PESA ZIMEWAKATAA, MNAUGOMVI NA PESA TUFUNGUE MILANGO YA PESA, TAFUTA SARAFU ZA SHILINGI MIA KAMA KUMI HIVI ZICHEMSHE KWENYE MAJI HAKIKISHA UMEWEKA CHUMVI KIJIKO KIMOJA NA JIVU LA MKAA KIJIKO KIMOJA YAKICHEMKA CHANGANYA NAMAJI YA KUOGA OGEA NUIA MILANGO YA PESA IFUNGUKE HIZO SARAFU NENDA KAZITUPE NJIA PANDA FANYA HIVYO SIKU TATU MFULULIZO UJE NA MREJESHO.
IMG-20240829-WA0517.jpg
 
Hizo
WALE PESA ZIMEWAKATAA, MNAUGOMVI NA PESA TUFUNGUE MILANGO YA PESA, TAFUTA SARAFU ZA SHILINGI MIA KAMA KUMI HIVI ZICHEMSHE KWENYE MAJI HAKIKISHA UMEWEKA CHUMVI KIJIKO KIMOJA NA JIVU LA MKAA KIJIKO KIMOJA YAKICHEMKA CHANGANYA NAMAJI YA KUOGA OGEA NUIA MILANGO YA PESA IFUNGUKE HIZO SARAFU NENDA KAZITUPE NJIA PANDA FANYA HIVYO SIKU TATU MFULULIZO UJE NA MREJESHO.View attachment 3082478hizo sarafu kila siku unazichemsha kumi na kuzitupa zote kwa kila siku kwa siku 3?
 
WALE PESA ZIMEWAKATAA, MNAUGOMVI NA PESA TUFUNGUE MILANGO YA PESA, TAFUTA SARAFU ZA SHILINGI MIA KAMA KUMI HIVI ZICHEMSHE KWENYE MAJI HAKIKISHA UMEWEKA CHUMVI KIJIKO KIMOJA NA JIVU LA MKAA KIJIKO KIMOJA YAKICHEMKA CHANGANYA NAMAJI YA KUOGA OGEA NUIA MILANGO YA PESA IFUNGUKE HIZO SARAFU NENDA KAZITUPE NJIA PANDA FANYA HIVYO SIKU TATU MFULULIZO UJE NA MREJESHO.View attachment 3082478
Hizo sarafu kila siku unazichemsha kumi na kuzitupa zote kwa kila siku
 
Habari wanajukwaa ninatatizo LA macho yanauma kwenye mwanga mkali au jua Kali msaada wenu naweza kutumia dawa gani
 
Back
Top Bottom