Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
- Thread starter
- #301
OK, Thank you so much!Acha longo longo, ulitakiwa urahisishe na sio kuileta kama ulivyoikuta sio kila mtu atakuelewa
OK, Tudah ahchc
OK, Dank'ken.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OK, Thank you so much!Acha longo longo, ulitakiwa urahisishe na sio kuileta kama ulivyoikuta sio kila mtu atakuelewa
Nenda hospital waangalie ini na Figo maana wakati mwingine harufu inatokea ndani, kama hakuna tatizo angalia tonsil stones kinywani huwa ni sababu na kama zipo zitoe....Jamani ni sisi ambao tuna nuka mdomo tunafanyaje.sasa na hatuwezi kuongea sana tukiachama tu ni kosa [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28] mambo ni mengi, ila wakati mwingine lifestyle inachangia pia....Kumbe dah, maana wadogo zetu wadogo tu lakini unaweza waamkia kwa hali zao!
Awahi hospital ni muhimu zaidi, akiwahi kabla haujaendelea stage za mbele zaidiMatibabu ya homa ya Ini kama unajua nisaidie atumie nini? Ili kama ipo iishe kabisa
Hakuna kitu mbaya kama kupoteza tumaini maishani,[emoji28][emoji28][emoji28] mambo ni mengi, ila wakati mwingine lifestyle inachangia pia....
Sasa unakuta bwana mdg lakini anakunywa mvinyo na msosi wa kubahatisha kwann usiharibike aisee....
Majini ni kama unasema neno Binadamu nimejaribu kukupa picha kwamba unaposema binadamu ni neno pana kuna waafrica,wazungu,wachina nk kila aina hapo ndani pia imegawanyika katika jamii,koo,makabila nk hivyo hivyo kwa majini nao neno hilo hubeba uhalisia wao ila sio mgawanyiko wao wapo wanaoogopa hiyo mifupa na wapo wasioogopa na wapo wanaokula kabisa hiyo nyama ya nguruwe inategema humo ndani kuna aina gani ya majini.Ni kweli mifupa ya nguruwe inaondosha majini ndani ya nyumba?
Kwa uelewa wangu mara nyingi hapa unazungumzia mazindiko yaani vitu vya kufukia sina kumbukumbu sana kama ntakumbuka ntaleta hapa unafukia katika pembe zote za kiwanja chako.Au wenye ujuzi wa hili tofauti wataletaJambo jingine pia wadau, ni hawa wezi hasa hasa wanaoiba/kupora majumbani kwa namna moja ama nyingine wanarudisha maisha ya watu nyuma sana kiuchumi.
Na kwa ujumla hawa watu hawafai kabisa, sasa kama kuna namna ya kufanya mfano; wasiwe na wazo kabisa kuhusu kaya/nyumba yako n.k.
Nawasilisha [emoji1666]
Ulipima hospital una tatizo gani,matatizo huwa hayafanani na dawa hivyo hivyo huwa inatakiwa ujue una tatizo lipi hasa linalosababisha usibebe ujauzito au unabeba haufikishi miezi minne nk ndio wanaotaka kukupa aina za dawa wajue wanakupa kitu sahihiNakuombea kwa M/Mungu upate muda utusaidie me nataman kuitwa mama jmn nimechoka hali hii[emoji22]
Kaka ujaleta hii kitu bado niko nasubiria hapaKwa Wale wanajamvi wanaopoteza hela yao kutafuta dawa ya kukuza maumbile, nitakuja kuwapa code hapa...
Ingawa ni vyema utumie ukiwa na tatizo hilo kweli usifanye tu alimradi umefanya
Nimekuelewa! Ila dah hawa viumbe wasumbufu mno jaman, na utapel wa tiba yake umekua mwingiMajini ni kama unasema neno Binadamu nimejaribu kukupa picha kwamba unaposema binadamu ni neno pana kuna waafrica,wazungu,wachina nk kila aina hapo ndani pia imegawanyika katika jamii,koo,makabila nk hivyo hivyo kwa majini nao neno hilo hubeba uhalisia wao ila sio mgawanyiko wao wapo wanaoogopa hiyo mifupa na wapo wasioogopa na wapo wanaokula kabisa hiyo nyama ya nguruwe inategema humo ndani kuna aina gani ya majini.
Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
Sio utapeli kuwaelewa ndio tatizo hata kwa binadamu huwezi kuelewa jamii zote anaweza kukupa tiba sababu tiba hiyo ilimsaidia fulani kumbe tatizo lako ni tofauti ila linafanana muonekanoNimekuelewa! Ila dah hawa viumbe wasumbufu mno jaman, na utapel wa tiba yake umekua mwingi
Madhara yake lakini endapo ukikosea steps si mazuri nenda mwenye muegea tafuta tunda lake ambalo bado linakua chanja chale mbili kwenye hilo tunda chanja chale mbili kwako kwenye dhakari kisha tumia kidole chako chukua maji yatayotoka kwenye chale za kwenye tunda pakaa kwenye chale za kwenye dhakari yako kisha baada ya sekunde kadhaa chukua damu ya kwenye chale ya dhakari yako kapakae kwenye chale za tunda weka alama tunda lako maana yake linavyokua na wewe unakua dhakari size unayotaka ikifika unatakiwa ukakate lile tunda hapa ndio muhimu na kwenye tahadhari zote hakikisha unakumbuka tunda na kulikata pindi utapotosheka na size unayotaka.Kaka ujaleta hii kitu bado niko nasubiria hapa
Sawa sawa.Kwa uelewa wangu mara nyingi hapa unazungumzia mazindiko yaani vitu vya kufukia sina kumbukumbu sana kama ntakumbuka ntaleta hapa unafukia katika pembe zote za kiwanja chako.Au wenye ujuzi wa hili tofauti wataleta
Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
Mmh!! Hapa so mchezo mfano huo mti ikatokea umekatwa, hapa itakuwaje na mabadiriko huwa yanaanza kutoa kwa muda gani?Madhara yake lakini endapo ukikosea steps si mazuri nenda mwenye muegea tafuta tunda lake ambalo bado linakua chanja chale mbili kwenye hilo tunda chanja chale mbili kwako kwenye dhakari kisha tumia kidole chako chukua maji yatayotoka kwenye chale za kwenye tunda pakaa kwenye chale za kwenye dhakari yako kisha baada ya sekunde kadhaa chukua damu ya kwenye chale ya dhakari yako kapakae kwenye chale za tunda weka alama tunda lako maana yake linavyokua na wewe unakua dhakari size unayotaka ikifika unatakiwa ukakate lile tunda hapa ndio muhimu na kwenye tahadhari zote hakikisha unakumbuka tunda na kulikata pindi utapotosheka na size unayotaka.
Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
Sawa nimekuelewa kaka, tunda linatakiwa liwe la mti ganiMadhara yake lakini endapo ukikosea steps si mazuri nenda mwenye muegea tafuta tunda lake ambalo bado linakua chanja chale mbili kwenye hilo tunda chanja chale mbili kwako kwenye dhakari kisha tumia kidole chako chukua maji yatayotoka kwenye chale za kwenye tunda pakaa kwenye chale za kwenye dhakari yako kisha baada ya sekunde kadhaa chukua damu ya kwenye chale ya dhakari yako kapakae kwenye chale za tunda weka alama tunda lako maana yake linavyokua na wewe unakua dhakari size unayotaka ikifika unatakiwa ukakate lile tunda hapa ndio muhimu na kwenye tahadhari zote hakikisha unakumbuka tunda na kulikata pindi utapotosheka na size unayotaka.
Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
Mbona nimeandika hapo muegeaSawa nimekuelewa kaka, tunda linatakiwa liwe la mti gani
Sawa kaka kupatika kwake ndo shida sasa