Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

NGESI

Hii Ngesi ina tiba nyingi nyingi na lukuki nitakuja kuzitoa hapa nikipata wakati mzuri kutulia, ila kwa wenye mirija iliyopata ziba hii inazibua, inasafisha mkojo kuliko kawaida hata ukiwa na UTI ni chap Inakwenda, inaongeza hamu ya kula, kibofu kinasafichwa, hamu ya kula na mengine naamini kufikia weekend nitaleta maelezo yake hapa wakuu!!!
Picha ya NGESI mkuu
 
Polee mkuu, kwa ninavyojua ama kwa uelewa wangu hii mara nyingine huchangiwana sexual contact....

Dawa za asili zipo na za hospital pia zipo,ingawa ukisema ili lisijirudie itakupidi kua makini na maisha ya ngono unayoishi mkuu....

Kama ni tatizo sio la muda sana ama kukomaa sana tafuta ngesi itwange na kisha uwe unakunywa kwenye kimiminika chochote.

Usipofanikisha nione nitajua la kukusaidia zaidi
Tatizo ni la mwaka sasa, nmetumia vitungu swaum na cream ya Podophyllin
 
Karafuu ni dawa ya jino lililooza linalouma...

Unaisaga unaweka kwenye jino liinaacha kuuuma...
Dawa ya jino lililooza au kupasuka ni kuling'oa tu. La, kwa matatizo mengine ya meno

Unga wa mdalasini vijiko vitano vya chai
(ii.) Unga wa karafuu vijiko vitano vya chai
(iii.) Unga wa pilipili manga vijiko viwili vya chai.
(iv.) Asali 250 mls (robo Lita).
Matayarisho na matumizi yake:
Changanya unga wa karafuu (vijiko 5 vya chai), unga wa pilipili manga (vijiko 2 vya chai) na ukoroge vizuri kabisa pamoja kwenye asali (¼ lita). Halafu pigia mswaki dawa hiyo kutwa mara 2. Ikiwa meno yako ni mabovu sana basi mchanganyiko huu ndio uwe dawa yako ya meno. Ikiwa jino lako limetoboka basi chukua dawa hii na uiweke kwenye tundu hilo.
 
Dawa ya jino lililooza au kupasuka ni kuling'oa tu. La, kwa matatizo mengine ya meno

Unga wa mdalasini vijiko vitano vya chai
(ii.) Unga wa karafuu vijiko vitano vya chai
(iii.) Unga wa pilipili manga vijiko viwili vya chai.
(iv.) Asali 250 mls (robo Lita).
Matayarisho na matumizi yake:
Changanya unga wa karafuu (vijiko 5 vya chai), unga wa pilipili manga (vijiko 2 vya chai) na ukoroge vizuri kabisa pamoja kwenye asali (¼ lita). Halafu pigia mswaki dawa hiyo kutwa mara 2. Ikiwa meno yako ni mabovu sana basi mchanganyiko huu ndio uwe dawa yako ya meno. Ikiwa jino lako limetoboka basi chukua dawa hii na uiweke kwenye tundu hilo.
Na Mimi kwakuongezea kuhusu dawa ya jino linalouma.


Tafuta karafuu punje 10, kipande kidogo chá tangawizi mbichi na punje 5 za kitunguu swaumu(kitunguu ni bora vile vidogovidogo ndio vizur zaid na sio yale makubwa.


Matayarisho.

Menya kipande chá tangawizi na uoshe vizur.
Chambua punje za vitunguu swaumu.

Vyote kwa pamoja karafuu+kitunguu swaum+tangawizi vitangwe mpka vitwangike sana.


Matumizi.

Weka dawa iliyotwangwa sehem yenye jino linalouma lizungushie dawa kwenye pande zote na juu ya jino hilo.

Baada ya kupaka utapatamaumivu makali sana ya muasho ndani ya dakika 10 mpka 20 halafu muwasho utapotea.
Hapa itabidi ustahamili sana tena sana×10.

Fanya zoezi hili ndani ya siku tatu mpka tano.

Note:
Sehemu yenye jino linalouma patafanya ukungu mweupe kama kuchubuka hivi usihofu hali hiyo itapotea baada ya kumaliza matumizi ya dawa.

Muda mzuri ni usiku wakati wakutakakulala ili dawa ikae usiku kucha asubuh utatoa na kufanya shughuli zako.

Jamani uweze kustahamili inawasha sana kutokana na kitunguu swaumu tu.


Nisameheni kwa uandishi mbovu.

Uliza kama hujafahamu.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Madhara yake lakini endapo ukikosea steps si mazuri nenda mwenye muegea tafuta tunda lake ambalo bado linakua chanja chale mbili kwenye hilo tunda chanja chale mbili kwako kwenye dhakari kisha tumia kidole chako chukua maji yatayotoka kwenye chale za kwenye tunda pakaa kwenye chale za kwenye dhakari yako kisha baada ya sekunde kadhaa chukua damu ya kwenye chale ya dhakari yako kapakae kwenye chale za tunda weka alama tunda lako maana yake linavyokua na wewe unakua dhakari size unayotaka ikifika unatakiwa ukakate lile tunda hapa ndio muhimu na kwenye tahadhari zote hakikisha unakumbuka tunda na kulikata pindi utapotosheka na size unayotaka.

Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
Nimechelewa Samahani mkuu. Naomba kujua kama njia hii inafanya kazi hata kwa wale ambao umri umekwenda say 65yrs+ au ni kwa yeyote?
Huu uzi umejaa madini sana.
 
CURE FOR URINARY PROBLEM, SWOLLEN LIVER AND LIVER DYSFUNCTION
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
Do the following below to get rid of them
1. Getting rid of swollen liver problem:
For those having issues of swollen liver and experiencing lots of pains due to it,do this to get rid of it
You Get some unripe mangoes and boil it, add honey.
Take 1 glass 2 times daily for 2 weeks till it goes completely
2. For liver dysfunction:
The function of the liver transforms nutrients into other nutrients, produces bile which is needed to digest fat, cleanses the blood by neutralizing, and eliminating many toxic waste.
If your liver isn't functioning well your body can't cleanse the blood which can cause disease
Solution: Make deconcortion of infusion of vervain flower.
Take 1 glass, 2 times daily.
Or you can eat onions bulbs regularly till it goes
3. Suffering from urinary problem:
Are you having pains or difficulties when easing yourself self. This can lead to serious complications in the body.
To get rid of urinary problem you simply get unripe paw paw mix with garlic and water, allow for 3 days to ferment.
Take a cup 3 times daily.
And it will go.
 
Jambo la muhimu kwenye baadhi ya miti ili upate matokeo mazuri lazima uchume au uchimbe dawa kwa kufuata taratibu za mti husika pengine na muda maalumu. Hivyo tuzingatie kwenye mimea ya hivyo kupeana na taratibu zake ndio maana kuna dawa nyingine huwezi kabisa kuzichimba bila hatua fulani.

Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
 
Kwa wale wenye vile vinundu mkononi vile ambavyo haviumi, vinatokea tu na vinakuwa siku zinavyozidi kwenda. DAWA

1 jongoo, muue au okota aliekufa, msage awe unga. Uwe unachanja unapaka mara kwa mara.

2 Hii ndo nyepesi na uhakika 100%. Chukua jiwe la ukubwa kiasi. Kila siku (mara nyingi uwezavyo) uwe ubakaponda ponda hako ka nundu kwa kutumia jiwe hilo. Vumilia maumivu na tumia nguvu kiasi.

Note: usidonoe donoe ukinidanganya kuna nguvu za miujiza zitakuponya, NGUVU ZAKO NDO ZINAKAONDOA / ZINAKASAMBARATISHA HAKO KA NUNDU KWA KUTUMIA JIWE.

hiyo zote ni from my own experience sio za kuambiwa
 
Back
Top Bottom