Dawa ya jino lililooza au kupasuka ni kuling'oa tu. La, kwa matatizo mengine ya meno
Unga wa mdalasini vijiko vitano vya chai
(ii.) Unga wa karafuu vijiko vitano vya chai
(iii.) Unga wa pilipili manga vijiko viwili vya chai.
(iv.) Asali 250 mls (robo Lita).
Matayarisho na matumizi yake:
Changanya unga wa karafuu (vijiko 5 vya chai), unga wa pilipili manga (vijiko 2 vya chai) na ukoroge vizuri kabisa pamoja kwenye asali (¼ lita). Halafu pigia mswaki dawa hiyo kutwa mara 2. Ikiwa meno yako ni mabovu sana basi mchanganyiko huu ndio uwe dawa yako ya meno. Ikiwa jino lako limetoboka basi chukua dawa hii na uiweke kwenye tundu hilo.
Na Mimi kwakuongezea kuhusu dawa ya jino linalouma.
Tafuta karafuu punje 10, kipande kidogo chá tangawizi mbichi na punje 5 za kitunguu swaumu(kitunguu ni bora vile vidogovidogo ndio vizur zaid na sio yale makubwa.
Matayarisho.
Menya kipande chá tangawizi na uoshe vizur.
Chambua punje za vitunguu swaumu.
Vyote kwa pamoja karafuu+kitunguu swaum+tangawizi vitangwe mpka vitwangike sana.
Matumizi.
Weka dawa iliyotwangwa sehem yenye jino linalouma lizungushie dawa kwenye pande zote na juu ya jino hilo.
Baada ya kupaka utapatamaumivu makali sana ya muasho ndani ya dakika 10 mpka 20 halafu muwasho utapotea.
Hapa itabidi ustahamili sana tena sana×10.
Fanya zoezi hili ndani ya siku tatu mpka tano.
Note:
Sehemu yenye jino linalouma patafanya ukungu mweupe kama kuchubuka hivi usihofu hali hiyo itapotea baada ya kumaliza matumizi ya dawa.
Muda mzuri ni usiku wakati wakutakakulala ili dawa ikae usiku kucha asubuh utatoa na kufanya shughuli zako.
Jamani uweze kustahamili inawasha sana kutokana na kitunguu swaumu tu.
Nisameheni kwa uandishi mbovu.
Uliza kama hujafahamu.
Sent from my SM-N9150 using
JamiiForums mobile app