Whitney Houston
JF-Expert Member
- Jan 5, 2019
- 216
- 404
Kwa wahanga wa Bawasiri,Utomvu wa papai bichi ni tiba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mgagani ukishindikana tumia utomvu wa papai bichi mkuu.kuna dawa ya bawasiri unatumia kitu kama mgagani kwa anaefahamu tafadhali ?
It's seem you have something to tell pls teach us few you had.Mgagani ukishindikana tumia utomvu wa papai bichi mkuu.
Hapana sina mengi,hayo niliyoshare ni mi mwenyewe ndo nilikuwa muhanga,nikatajiwa dawa hzo na wajuvi,na nilipona.It's seem you have something to tell pls teach us few you had.
hapo kwenye mrija wa asili haiwezi tumika bomba nyembamba ya mpapai na ikafanya kazi?Uzi maridadi kabisa nimeupenda, napenda kuishi maisha flani yasiyopoteza ladha ya kiafrika km kula vyakula asili, kutumia dawa asili nk
Nafahamu baadhi ya dawa ila nyingine sijui majina kwa kiswahili labda kwa kilugha cha kwetu,
Dawa ya kinyama cha jicho, sijui ndo wanaita kansa ya macho,, ni mti flani unauzwa sana na taasisi za kidini niliwahi kusikia wanasema eti ni moja mti ulikuwepo ktk bustani ya Eden,, akipatikana anaeujua huu mti atume picha yake, kwa jina la kilugha unaitwa, 'OMUHUHE'
Matumizi ni kama ifuatavyo; unachuma majani yake yaliyo machanga,, unayaosha na kuosha utakapopondea,, hakikisha yanalainika kabisa, then unayafunga vizuri kwenye jani la mgomba,, kama wauza karanga au unga wanavyofungasha unga mchele kwenye gazeti, kisha unabinya dawa uliyoponda ili kutoa maji ya dawa husika, hakikisha maji yanadondokea sehemu safi yaweza kuwa kisosi au kibakuli kidogo tu, baada ya hapo unatafuta mirija ya kienyeji, yapo majani huwa yanakuwa na uwazi katikati,(wazee zamani walitumia kunywea pombe), unavuta hiyo dawa kwenye mrija huo ukihisi imepanda unazuia kwa kidole ili isimwagike,, halafu unamdondoshea mgonjwa kwenye macho,,, fanya hivi kwa kurudia katika miezi 3-6 kutegemea na ukubwa wa kinyama,, kitaisha
Hii dawa niliwahi kutibia mtu aliyekuwa na kinyama kilikuwa kinaonekana kabisa, hakikuwa kinamuuma, siku moja akaamua kwenda hospital wakamwambia ni kinyama na alitakiwa kufanyiwa upasuaji haraka maana alikuwa anaelekea kuwa kipofu, ndipo tukaambiwa hiyo dawa na alipona hadi leo hakijarudi
Tangu hapa niliheshimu mitishamba na nilianza kuitilia maanani
Hii naionaga ngoja nitafute
Hapana bomba la mpapai ni pana sanahapo kwenye mrija wa asili haiwezi tumika bomba nyembamba ya mpapai na ikafanya kazi?
Mkuu tafadhali hebu tuwekee vizuri utomvu wa papai bichi unatumiaje ni tunda bichi au mti mbichi na unafanyaje?Mgagani ukishindikana tumia utomvu wa papai bichi mkuu.
Nikumbushe nikutumie picha.Ndulele ni nini?
Unachukua ukiwa fresh kabla haujaganda,unauchukua kweny papai tunda bichi lenyewe.Uvute kwa bomba la sindano lisilo na sindano au mwino(droper) kama unao,Uingize kwenye tundu ya mbuuu,jitahidi usitapakae maeneo yaliyo zunguka mnduku coz unawasha utashindwa kuvumilia.Tena maeneo ya marinda hakikisha ni pasafi na pakavu.Mkuu tafadhali hebu tuwekee vizuri utomvu wa papai bichi unatumiaje ni tunda bichi au mti mbichi na unafanyaje?
mpapai mchanga ni membamba.Au hata bomba yoyote tu ya mmea si inafaa?Cha msingi tu iwe ni la mmea na si plastic sindio?Au?Hapana bomba la mpapai ni pana sana
Muhimu ni kudondoshea vitone ktk macho,mpapai mchanga ni membamba.Au hata bomba yoyote tu ya mmea si inafaa?Cha msingi tu iwe ni la mmea na si plastic sindio?Au?
Hahaha,sijaujua bado.Muhimu ni kudondoshea vitone ktk macho,
Vipi mti umeujua maana nilipo kwasasa sijauona kabisa
Dah, utapatikana tuHahaha,sijaujua bado.
Ni taasisi ya dini gani wanauuzaga?Labda urahisishe hapo tnaweza bahatsha bahatisha ukapatikana.Ni mti au ua? Ingekua ni ua labda ningeweza sema ni myerusalem,makanisan wanayaoteshaga sanaDah, utapatikana tu
Ni mtiNi taasisi ya dini gani wanauuzaga?Labda urahisishe hapo tnaweza bahatsha bahatisha ukapatikana.Ni mti au ua? Ingekua ni ua labda ningeweza sema ni myerusalem,makanisan wanayaoteshaga sana