Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,962
- 721
Kwa lugha ya kisayansi inaitwa Euphorbia hirta. Na ni dawa hii hii inamaliza tatizo la ulcers.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa lugha ya kisayansi inaitwa Euphorbia hirta. Na ni dawa hii hii inamaliza tatizo la ulcers.
Mimi natafuta mmea ambao ni dawa ya Vitiligo...,anaeujua tafadhaliKwa lugha ya kisayansi inaitwa Euphorbia hirta. Na ni dawa hii hii inamaliza tatizo la ulcers.
Huu pia ukikata majani yake yanatoa maziwa, Kama umepata damage yoyote kwenye jicho ukiweka yale maziwa husafisha kabisa na jicho hurudi katika hali yake
Kutokana na ugumu wa tiba ya hilo tatizo sina uhakika asilimia mia. Ila niliwahi kumsikia daktari wa tiba mbadala akisema Unachukua zile mbegu za mti wa Hina/ Hii hii wanawake wanayopaka Unazitwanga kisha unazianika ndani au kwenye kivuli unaweza zinyunyizia maji ya Limao.Mimi natafuta mmea ambao ni dawa ya Vitiligo...,anaeujua tafadhali
Kuna sehemu nilisoma kuwa;Mimi natafuta mmea ambao ni dawa ya Vitiligo...,anaeujua tafadhali
Huyu mwamba kapotea sanaKwa Wale wanajamvi wanaopoteza hela yao kutafuta dawa ya kukuza maumbile, nitakuja kuwapa code hapa...
Ingawa ni vyema utumie ukiwa na tatizo hilo kweli usifanye tu alimradi umefanya
Watu walihamia kwenye group mkuu.....Huyu mwamba kapotea sana
Why kwa nn usiweke hapa ili watu wanufaike wengi ???Watu walihamia kwenye group mkuu.....
mbona ni kama utaratibu ulikubalika hapa??? mimi group lilipoundwa nikajoinWhy kwa nn usiweke hapa ili watu wanufaike wengi ???
Huu mmea wa muhogo naona kumbe una matumizi mengi sana, ahsanteni sana wakuuNaongezea tu mkuu hata mkiwa na mashaka juu ya kifo cha ndg na jamaa juu kufariki kwake mshikishe marehemu fimbo ya muhogo endapo kama kunamwenye mkono juu ya suala hilo mbona ataomba poo kwa bakora
Yaani una mabalaa ai mchezo mkuu, dahHuu muhogo tunauchukulia poa kumbe una ma balaa hivi.
Dawa yake asili sehemu nyingi na inamaliza tatizo kwa 100% mualike mjomba wa huyo mtoto siku hiyo kwako kukaangwe kuku,samaki au nyama chakula anachopenda mjomba husika bila yeye kujua chochote chakula atachotengewa kifutiwe udenda wa huyo mtoto kisha kiwekwe tayari kumtengea mjomba ale bila kujua kinachoendelea,tatizo litaisha mara moja.HABARI MKUU....DAWA YA MTOTO ANAYEDONDOSHA UDENDA KWA KIASI KIKUBWA NI NINI??
Hivi hii manjano ndo ile wanaita binzari mbichi, iko kama tangawizi?Jitahidi kutumia manjano (turmeric) katika kuandaa chakula chako.
Code mkuuKwa Wale wanajamvi wanaopoteza hela yao kutafuta dawa ya kukuza maumbile, nitakuja kuwapa code hapa...
Ingawa ni vyema utumie ukiwa na tatizo hilo kweli usifanye tu alimradi umefanya
Tumia vifuu vya nazi unavichoma vizuri alafu unasaga unga wake ule unakuwa unatumia kunywea kwenye maj glas moja kutwa ×2 kwa sku 14...21 kutegemea muda wa tatzo lako mkuuNdugu zangu tatizo la uoni hafifu linazidi kuwa kubwa siku baada ya siku. Mwenye kujua dawa ya asili ya kupunguza au kusaidia anaweza weka hapa tukafaidika natanguliza shukran.
niliweka hapa maelekezo kidogo sijui kama mmefuatilia juu hukoCode mkuu