Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
JINSI YA KUONDOA WEUSI KWENYE MAPAJA , SHINGONI , MAKWAPANi 🍊🍋🥥🥒🥑.Kuwa mweusi maeneo katika mwili has a mapajani, shingoni, makwapani sio tatizo La kiafya, lakini ni kitu kinachoboa na kuupa dosali mwili wako😔 Hili tatizo linatooana na kutokwa na jasho jingi kupita kiasi. Na usafi hafifu au matumizi mbalimbali za kunyolea kama kiwembe au kushave. NJIA ZA KUEPUKA AU KuJITIBU .sehemu iliyo na weusi.👌.
🌷 LIMAO/ NDIMU🍋.Lina sifa ya kuondoa harufu na uchafu kwenye ngozi na kung'alisha MATUMIZI . Paka juisi 🍋 sehemu huska kisha acha dk20 ondoa kwa kitambaa kibichi. Fanya Mara 3 kwa wiki ili upate matokeo mazuri.
🌷: UTE WA ALOVERA/ msubiri. Inasifa ya kungalisha ngozi👌 MATUMIZI kamua ute wa alovera na paka sehemu usika na massage mpaka uweze kunyonywa na ngozi kisha Osha kwa kitambaa kibichi cha maji ya uvuguvugu fanya kila sku Mara 2 kwa matokeo mazur.
🌷TANGO🥒 lina sifa ya kuondoa uchafu na seli zilizo kufa kwa ngozi MATUMIZI paka kipande cha🥒 au juice take kisha massage kbaridi
10 kisha suuza kwa maji fanya mara2 kwa siku.
🌷MAFUTA YA NAZI🥥 fat acid (tindi Kali) iliyopo kwenye mafuta ya Nazi inasaidia kung'arisha na kuondoa madoa meusi . Mafuta ya Nazi yanafanya kazi nzuri kwenye unyevunyevu👌 MATUMIZI changanya kijiko 1 cha juice ya limao ktk mafuta ya Nazi pakaa sehemu usika na acha dk 10 fanya hivi mara 1 kwa Siku.
🌷MAGANDA YA MACHUNGWA🍊 yana sifa ya kuondoa uchafu na madoa kwenye ngozi . Tengeneza unga wa maganda ya chungwa yakaushe chukua vijiko 2 vya unga wa maganda ya chungwa kicha vijiko 2 vya rose water Tengeneza had I mchanganyiko use mzito paka eneo husika ongeza na Asali mbichi itakuwa vizur zaidi acha dk 15_20 ondoa na maji baridibaridi
🙏🙏🙏🙏🤝
From Moro town