Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Ndugu zangu mwenye shida aseme apa tuendelee kuwapa dawa,naona mme poa (kimyaaa) au mmeshapona wote[emoji2375]
Kwema ndgu,Nmsaada dawa ya mtoto ana kikohozi kikavu kimedumu mda mrefu zaidi ya mwezi ,dawa za hospital zinaleta ahueni kidogo Tena hali inajirudia
 
Kwa wale wanaume wanazaliwa na sehemu za kiume ambazo ni ndogo kiasi cha kushangaza, na hazikuwi kiasi ni aibu hata kumtongoza mwanamke yupo fundi anayemudu kazi hiyo wa uhakika kwa siku 14 tu, anagharama kidogo 250,000/-lakini ataondoa fedheha yako yote kwa 100%,kwa maelekezo inbox nikuelekeze ukamwone!
 
Chukua kikombe kimoja Cha maji ya moto weka kijiko kimoja Cha asali na habatsauda ya mafuta kijiko kimoja.
Kisha atumie kunywa asubui kabla ajala chochote na jioni wakat wa kulala siku 7 inshallah [emoji2972] atakua sawa,kama pia hospital kimeshindika unaweza ukaja tukaangalia pia tujue shida n nini[emoji1431]

Hujanjibu?
 
Bye bye hospital recipe!
-tafuta malimao mawili, yaoshe, yakatekate na maganda yake, weka kwenye sufuria ndogo, weka swaum punje nne, zikatekate, malizia na kipande cha manjano au turmeric, chemsha vizuri chuja kunywa kila jioni, kuumwa utakusahau.
Fanya mazoea kila wiki mara moja.
 
Kuna dawa ya kunywa na kupaka sehemu husika.Kwa hapa hadharani utadanganywa tu mwishowe upake ni vitu vya ajabu uambulie kansa.Nitumie ujumbe binafsi nitakusaidia.

Weka kama wengine wawekavyo hapa kwa manufaa ya wengi.

Na kipi cha ziada useme za wengine aambulie kansa na ya kwako asiambulie kansa?
 
SALAM.

Kuna mjumbe aliongelea kuhusu mbegu za Lafyambo, msaada juu ya matumizi yake katika toba kiroho.

Ahsante.
 
Dawa ipi au mchanganyiko upi unaweza kunisaidia kupunguza uzito?
Tukiliweka pembeni suala la diet na mazoezi.
 
Ukiona una tatizo lolote la ngozi iwe chunusi, vibarango, fangasi ,mba na mengineyo na kila ukitumia dawa haliishi, basi tambua hapo tatizo liko damuni.

Kutumia dawa za kupaka hasa tube, tatizo litakuwa linaenda na kurudi.(to and flo)

NINI CHA KUFANYA
Tafuta unga wa mziwa ziwa (Euphorbia Hirta), msokonoi (Warbugia ugandensis) a hembe mbara (synadenium glaucescens)

DOZI UTAANDAAJE
Tenga Kidogo unga wa mchanganyiko huu utakunywa kwa chai wiki moja na tenga mwingine kidogo utaandalia mafuta ya kupaka wiki moja

Hapo utamaliza tatizo lolote la ngozi iwe aleji, pumu ya ngozi , n.k .

1705910443959.png
1705910557422.png
1705910605824.png
 
Weka kama wengine wawekavyo hapa kwa manufaa ya wengi.

Na kipi cha ziada useme za wengine aambulie kansa na ya kwako asiambulie kansa?
Mimi ni mtaalam siyo kama unavyofikri.Ninayo taaluma ya dawa za mimea kwa level ya chuo kikuu na nimesajiliwa na baraza la dawa la tiba asili na tiba mbadala linalosimamiwa na wizara ya afya.Kwa hiyo ninafahamu namna na majira ya uvunaji wa dawa,uandaaji wake na mpaka uhifadhi wake ili mmea uliovunwa uendelee kuhifadhi dawa iliyoko ndani yake.Si kila mmea tiba unaweza kuwa ni dawa,inategemeana na uandaaji wake maana unaweza kuharibu dawa wakati wa uandaaji wake.Mfano unaweza kutumia mlonge na usipate matokeo katika shida yako,kumbe unatumia makapi bila kujua nguvu yake ilishaisha kwa kukosea kanuni zake za uvunaji na uandaaji wake.
Kwa hiyo ndugu nilichoandika ninakijua!
 
Ok. Vyema

Vyema uweke hints tu kama wateja utawapata wengi tu
 
Kwa wale wanaume wanazaliwa na sehemu za kiume ambazo ni ndogo kiasi cha kushangaza, na hazikuwi kiasi ni aibu hata kumtongoza mwanamke yupo fundi anayemudu kazi hiyo wa uhakika kwa siku 14 tu, anagharama kidogo 250,000/-lakini ataondoa fedheha yako yote kwa 100%,kwa maelekezo inbox nikuelekeze ukamwone!
Samahani Mkuu, tunaomba ujikite kwenye mada. Na usitumie hii thread kufanya Matangazo kwani jukwaa la matangazo lipo.

Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani​

Asante.
 
DAWA YA VIDONDA SUGU

Tuchukue papai bichi

Baada ya kulisafisha tukate vipande vidogo bila kumenya wala kutoa mbegu

Unaweza kutumia blender au chopper ili kupata particles ndogo zaidi (hii ni kurahisisha ukaushaji)- Malighafi hii iwe 250g ikiwa mbichi

Kausha kivulini

Ikishakauka, twanga au saga kupata unga laini kabisa

Sasa pata 5g ya tangawizi ya unga uliochekechwa kuwa laini sana

Ebu tupate na manjano (binzari) 5g ya unga uliochekechwa kuwa laini sana

Tuchanganye malighafi zetu zote

Tayari tumepata dawa bora kabisa ya kutibu vidonda sugu (vidonda ndugu)

Hii ni maalumu kwa matumizi ya nje tu!

Aise
Inapiga hadi vidonda kwa wenye sukari....
 
Back
Top Bottom