Uzi maalumu wa picha za nukuu na misemo mbalimbali ya kiislamu

Uzi maalumu wa picha za nukuu na misemo mbalimbali ya kiislamu

IMG_0057.jpg
 
Ni muhimu sana Shetani ana mbinu nyingi mno na hatua zake katika kuhakikisha anapata sapoti na kundi la kutosha la kuingia nalo Jehannamu 🔥 (Mwenyezi Mungu atuepushe)

Nataka nianze kusoma kitabu cha Mwanachuoni ninayemkubali na kumpenda mno Imam Ibn Jawz kinachoitwa Tablis Iblis(kwa kiarabu kama sikosei) kuhusu mbinu za shetani na hatua za kutegua mitego yakeView attachment 2307353
Ni Kitabu kizuri mnoo. MaashaAllah
 
Muhammad said, “If a house fly falls in the drink of anyone of you, he should dip it (in the drink), for one of its wings has a disease and the other has the cure for the disease.” Sahih Al-Bukhari 537
 
Quran 9;23. Enyi mlio amini! Msiwafanye baba zenu na ndugu zenu kuwa vipenzi vyenu ikiwa wanastahabu ukafiri kuliko Imani. Na katika nyinyi atakaye wafanya hao ndio vipenzi vyake, basi hao ndio madhaalimu
 
Muhammad said, “If a house fly falls in the drink of anyone of you, he should dip it (in the drink), for one of its wings has a disease and the other has the cure for the disease.” Sahih Al-Bukhari 537
 
Attachments

Nilikuwa naona misemo yake sehemu mbalimbali nikatoka sana kumkubali huyu mwamba .Baadae baada ya kumfuatilia kwa kina nikagundua kumbe alikuwa Muislamu tena mwenye kupenda dini yake kindaki ndaki.

Mpaka leo ninafuraha kubwa sana Brother Malcolm X naye kuwa muislamu mwenzangu
5167738-Malcolm-X-Quote-I-believe-in-Islam-I-am-a-Muslim-and-there-is.jpg
💕💕
 
Back
Top Bottom