Uzi maalumu wa picha za nukuu na misemo mbalimbali ya kiislamu

Uzi maalumu wa picha za nukuu na misemo mbalimbali ya kiislamu

"Enyi mlio amini! Msiingie nyumba zisio nyumba zenu mpaka mwombe ruhusa, na mwatolee salamu wenyewe. Hayo ni bora kwenu mpate kukumbuka
Na msipo mkuta mtu humo basi msiingie mpaka mruhusiwe. Na mkiambiwa: Rudini! Basi rudini. Hivi ni usafi zaidi kwenu. Na Mwenyezi Mungu anajua mnayo yatenda
Quran 24 : 27-28
 
"Wala msiwashurutishe vijakazi vyenu kufanya zina kwa ajili ya kutafuta pato la maisha ya dunia, ilhali wao wanataka kujihishimu. Na atakaye walazimisha basi Mwenyezi Mungu baada ya kulazimishwa kwao huko, atawasamehe, kwani Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.”

24 : 33
 
FB_IMG_1620120781468.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kusoma hii hadithi na kuijua nimeweka mpka Alarm [emoji354] ilimradi niiwahi swala ya Alfajiri kwa wakati ili nikizembea nisiwe na kisingizio nilipitiwa usingizi nililaumu mwenyewe kwa uzembe wangu.
Usisahau na ubora wa sunnat qablia ya alfajr
Mtume anasema
"Rakaa mbili za kabla ya alfajir ni bora kuliko dunia na vilivyomo" sahih Muslim

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kusoma hii hadithi na kuijua nimeweka mpka Alarm [emoji354] ilimradi niiwahi swala ya Alfajiri kwa wakati ili nikizembea nisiwe na kisingizio nilipitiwa usingizi nililaumu mwenyewe kwa uzembe wangu.

MASHAALLAH
ALLAH aijaze mioyo yetu kwa imani INSHAALLAH
 
Back
Top Bottom