Uzi maalumu wa picha za nukuu na misemo mbalimbali ya kiislamu

Muhammad alisema: "Kila mwanamke anayemkasirisha mumewe, mkewe miongoni mwa houris (wa Peponi) Wanasema : 'Usimkasirishe, Allah akuangamize, kwani yeye ni mgeni wa muda mfupi na wewe na hivi karibuni atakuacha na ajiunge nasi."' Vol. 3, Book 9, Hadith 2014
 
HILO NI NENO NALO (1886)
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
Waliishi waislamu karne kwa karne bila ya vipaza sauti miskitini wala hawakuwa na alam majumbani na wala haikukatika sala ya Alfajiri hata siku moja ilikuwa alam zao ni nyoyo zao.

Sala ni bora kuliko usingizi.

Imetayarishwa na
🌿DARSA YA FIQHI🌿
 
Suna kupiga miswaki ;Pamoja na kuhimizwa kila muda kabla ya kuswali kupiga mswaki hata kwa wasomi na muda kabla ya kuanza au kufanya kazi yeyote ile safisha kinywa kabla utaona uwezo wa kufocous unaongezeka na vitu vinashuka kiulaini na kazi inafanyika kwa uweledi zaidi
Faida nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…