Muhammad alisema: "Kila mwanamke anayemkasirisha mumewe, mkewe miongoni mwa houris (wa Peponi) Wanasema : 'Usimkasirishe, Allah akuangamize, kwani yeye ni mgeni wa muda mfupi na wewe na hivi karibuni atakuacha na ajiunge nasi."' Vol. 3, Book 9, Hadith 2014
HILO NI NENO NALO (1886)
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~ Waliishi waislamu karne kwa karne bila ya vipaza sauti miskitini wala hawakuwa na alam majumbani na wala haikukatika sala ya Alfajiri hata siku moja ilikuwa alam zao ni nyoyo zao.
Suna kupiga miswaki ;Pamoja na kuhimizwa kila muda kabla ya kuswali kupiga mswaki hata kwa wasomi na muda kabla ya kuanza au kufanya kazi yeyote ile safisha kinywa kabla utaona uwezo wa kufocous unaongezeka na vitu vinashuka kiulaini na kazi inafanyika kwa uweledi zaidi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.