Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbuka umri wa kumuozesha Binti Yako kwa mujibu wa Allah ni miaka 6, usisahau hilo
Mtume wenu pedophile Muhammad na ndoa yake na Aisha miaka 6, alishushiwa na pedophile Allah amuoe Aisha akiwa na miaka 6Weka ushahidi .
Hauna akili , hapa ndio mwisho wa majadiliano ya Mimi na wewe maana nimekutaka ushahidi wa kwamba Allaah ameamrisha hivyo haujaweka sasa mtu akiwa mjinga kwa levo uliyofikia hastahili kujibiwa.Mtume wenu pedophile Muhammad na Aisha ule wayi
Unathibitisha pedophile Muhammad kumuoa Aisha na miaka sita sio amri ya AllahHauna akili , hapa ndio mwisho wa majadiliano ya Mimi na wewe maana nimekutaka ushahidi wa kwamba Allaah ameamrisha hivyo haujaweka sasa mtu akiwa mjinga kwa levo uliyofikia hastahili kujibiwa.
Ndugu Mokiti, usiwe kwenye kukashifu usivyojua , Bora usome biblia itakusaidia kwa dini yako. Achana na dini za watu .Unathibitisha pedophile Muhammad kumuoa Aisha na miaka sita sio amri ya Allah
Sasa tujuze alutoa wapi?
Wa kumpuuza tu simQuote tena Wala kumjibu kwa sababu hajui kanuni za majadiliano , na dini imeelekeza wanapokuja watu wa Shari usifanye nao mijadala wapuuze mpaka watakapokuja kwa njia ya adabu.Ndugu Mokiti, usiwe kwenye kukashifu usivyojua , Bora usome biblia itakusaidia kwa dini yako. Achana na dini za watu .
Rejea Sheria iliyopitishwa IraqWeka ushahidi .
Kwa ufupi kwa Faida ya wote , hakuna mahala katika Qu'ran Wala Hadith imetaja umri wa kuoa Wala kuolewa bali mtu anaweza kuoa na kuolewa katika umri wowowte ule , ila kuishi kama Mke na Mume mpaka bale ambapo wote watapofika umri wa baleghe(washapevuka)
Hata Mimi naweza sasa kumchumbia mtoto wa miaka hata mitatu kwa Wazazi wake kwamba awe Mke wangu kwa baadae , ila na yeye kwa hiyo baadae alipata akili ana hiari ya kuendelea na huo mkataba au kuuvunja yaani halazimishwi.
Jamaa nimemwambia aweke ushahidi wa umri maana amespecify umri kuwa miaka 6 ameshindwa , sasa wajinga kama hao ambao wanadi kitu kisha wakiombwa ushahidi wanalet BLA BLA ni wakuachana nao katika majadiliano.
Kwani iraqi ni dini au nchi? Mbona kuna vitu munachanganya kati ya sheria za nchi na dini? Kwahy vitcan kuruhusu ndoa za mashoga maan yake ni wakristo munasapoti ushoga si ndio?Rejea Sheria iliyopitishwa Iraq
Kwani iraqi ni dini au nchi? Mbona kuna vitu munachanganya kati ya sheria za nchi na dini? Kwahy vitcan kuruhusu ndoa za mashoga maan yake ni wakristo munasapoti ushoga si ndio?
Iraq imefuata suna za Muhammad, mbora wa waislamu kuoa mtoto wa miaka 6Kwani iraqi ni dini au nchi? Mbona kuna vitu munachanganya kati ya sheria za nchi na dini? Kwahy vitcan kuruhusu ndoa za mashoga maan yake ni wakristo munasapoti ushoga si ndio?
Mashallah, Allah akuongoze AminAssalam'aleikum...
Karibuni wote katika sehemu rasmi hapa Jf ya kuelimishana na kuzinduana na kupata maarifa kupitia picha za nukuu na picha zinazohusisha dini ya kiislamu . Baada ya pilipilika mabalimbali ni vyema kupata kitu hata kidogo kitachoongeza kitu katika siku yako na pengine jambo kitu kidogo kinaweza kuwa na manufaa makubwa kwa mtu..
Moja jambo ambalo ningependa kuhusia ni tukumbuke kutubia na kuomba msamaha kwa Allah mara kwa mara ,kwani tumepewa fursa kubwa ya kurekebisha mambo yetu kwa kutubia na kuomba msamaha ila wengi tunaghafilika kwa kudhani muda tunao wa kutosha hatimaye mauti huja ghafla bila ya kutubia toba ya kweli na kusimama katika hali ya sawa na hii ni hasara kubwa kabisa.View attachment 2431351
View attachment 2305977
View attachment 2305978
Iraq imefuata suna za Muhammad, mbora wa waislamu kuoa mtoto wa miaka 6
Wewe unaepinga unampinga Muhammad