Abou Shaymaa
JF-Expert Member
- Oct 19, 2022
- 1,479
- 3,229
Sheria yao waarabu sio ya uislamu kwasababu sheria za uislam zipo toka enzi za mtume tena imehifadhiwa vichwan na kwenye maandishi haitungwi mahakaman wala bungeni, shida yako umeshindwa kutofautisha kati ya uislam na uarabu kama ambavyo akili yako inavyowaza mtu akiwa mzungu basi ni mkristo fuatilia acha kudandia mambo.Waarabu wakiwa wengi si wanatumia sharia yao? Sasa Iraq tayari wanasema uanze kuchumbia akiwa na miaka 9