adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
- Thread starter
- #841
Ndio maana Wagalatia mnapotea hovyo sababu za kufuata watu , sisi tunawafikiana na mtu endapo atawafikiana na dini.Iraq siyo Islamic country?
Hata ikiwa Islamic County hata mtu awe Sheikh mkubwa Duniani akisema kitu au kuamrisha kinyume na dini hatutakuwa pamoja nae kwa hiyo hoja kwamba Islamic country au sio ni Nonsensical, hoja ya kweli ni kwamba ipo kwenye Dini au la ...