UZI MAALUMU: Wanawake wote ambao wana msongo wa mawazo kwa sababu ya kutoolewa mkutane hapa

UZI MAALUMU: Wanawake wote ambao wana msongo wa mawazo kwa sababu ya kutoolewa mkutane hapa

Matatizo mengine ni ya kujitakia tu, koo za simba hatuna matatizo hayo ya kijinga jinga.
 
Hatari sana yani changamoto za ndoa wapitie wanawake ila wanaoumia na kujifanya wanajali ni wanaume, siku wanawake wakija kushituka na kulijua lengo hasa la wanaume kujifanya wanajali matatizo ya wanawake basi tutakuwa tumepiga hatua moja mbele, kwa sasa endeleeni kudanganywa kwamba eti mwanamke akishafika umri fulani hajaolewa basi ana matatizo (ambayo mpaka leo hayajulikani ni yepi)
Njoo inbox

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom