UZI MAALUMU: Wanawake wote ambao wana msongo wa mawazo kwa sababu ya kutoolewa mkutane hapa

Nadhani kwasababu Lucas Mwashambwa kwenye nyuzi zake huwa anaweka namba za simu hawa madada wawe wanamcheki labda nae yuko single anataka mke. Mkielewana tutahudhuria harusi yenu huko Mbalizi.
Mi nikajua wewe hujaoa ili nichukuliwe jumla jamani😓
 
Hayo mambo sasa
Mimi tayari nimeamua kukukabidhi moyo wangu. Kuanzia leo nimekuteua uwe mkurugenzi mkuu wa fedha zangu. Kabla ya uteuzi huu ulikuwa mwalimu mkuu usiye na cheo chochote kwenye moyo wangu. Uteuzi huu unaanza mara moja
 
Nami nimekubali kwa moyo mmoja
 
Nahitaji mwanamke mcheshi na mwongeaji kiasi ,miaka 25-28 asiwe na mtoto wala kutoa mimba, akubali kutii mamlaka ya mume wake, asiwe mtu wa marafiki wengi akishindwa mwisho wa wili tena hao marafiki zake wawe wameolewa.

Awe mweupe wa wastani au rangi ya chocolate a.k.a andazi

Nipo hapa kuoa serious
 
Ungeweka na ww sifa zako pia. Ili nao wapime kama inaenda
 
Maisha yanafurahisha sana.

Nilikua na 2 Aunties. Mmoja alikua na bahati ya kuolewa ila alikua hadumu na ndoa ikikaa sana ni miaka 2. Mwengine hakua na bahati ya kupata wanaume so hakuolewa mpaka sasa na hana hata mtoto.

Wote wamefika 40 wakiwa single.
 
Duh noma ila mmoja anawatoto soko gumu sana kwa wanawake.
 
Back
Top Bottom