UZI MAALUMU: Wanawake wote ambao wana msongo wa mawazo kwa sababu ya kutoolewa mkutane hapa

Nahitaji mke.
Sifa:
Umri: miaka isiyozidi 30
Dini: mkristo au asiye na dini
Elimu:form 4 na kuendelea
Umbo:Asiwe mnene, asiwe mfupi chini ya 160cm
Awe hajazaa.
Tuma maombi ukiambatanisha na picha ya mwili mzima iliyopigwa si zaidi ya miezi sita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…