UZI MAALUMU: Wanawake wote ambao wana msongo wa mawazo kwa sababu ya kutoolewa mkutane hapa

Mungu uwakumbuke wanawake na wanaume wote wanaotafuta ndoa na uwape ndoa za watu walio na agano nao yaani agano la Mungu...

Wakafurahie ndoa Wala wasijute..

Amina
Kuna dada mmoja mlokole mwaka jana alishinda Green card , huwa nakufananisha nae maneno yake na yako[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Najua wengi wenu mlikuwa mna ndoto za kuolewa na wanaume wenye mali, matajiri na handsome men.

Lakini sasa huenda mmeishia kuwa single maza na umri umesonga mmekuwa wasimbe (27+) au mishangazi

Kumekuwa na ongezeko la single maza wenye 30+ humu jf wanaotafuta waume kwenye love connect huu ni ushahidi tosha.

Mnatamani sana ndoa na mwanamume yeyote ili mradi awasitiri. Bahati mbaya ambayo wengi mnakutana nayo mnaahidiwa ndoa mnaishiwa kupigwa mashine hamuolewi, poleni najua jinsi inawaumuza hiyo hali.

Soko lenu la kuolewa limekuwa gumu sana. Kwanza niwape pole, nimeamua kuandaa huu uzi ili mkutane na kufarijiana na kupeana mbinu za kuolewa au jinsi ya kuishi bila ndoa.

Na sisi wanaume tutakuwa bega kwa bega nanyi kuona tunawasaidiaje.

Mwaka huu tumewaongeza wanawake waliozaliwa 1997 kwenye kundi la wasimbe.

Kwa wale ambao ndoa imeshindikana au itashindikana kabisa nitawaletea uzi wenu maalumu utakaokuwa na heading single women association leo tuanze na walio frustrated kwa kutoolewa kwanza.

Asanteni sana, nawasilisha.
hahahah, daaah ,

Hahahaaa, Daaah
 
Hatari sana yani changamoto za ndoa wapitie wanawake ila wanaoumia na kujifanya wanajali ni wanaume, siku wanawake wakija kushituka na kulijua lengo hasa la wanaume kujifanya wanajali matatizo ya wanawake basi tutakuwa tumepiga hatua moja mbele, kwa sasa endeleeni kudanganywa kwamba eti mwanamke akishafika umri fulani hajaolewa basi ana matatizo (ambayo mpaka leo hayajulikani ni yepi)
Baby girl [emoji8][emoji8][emoji8]
 
Back
Top Bottom