rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,032
- 18,540
TEam shangazi hapa 🤣Baby umeolewa!😊
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TEam shangazi hapa 🤣Baby umeolewa!😊
Mimi ni mjomba☺️TEam shangazi hapa 🤣
Kuna dada mmoja mlokole mwaka jana alishinda Green card , huwa nakufananisha nae maneno yake na yako[emoji16][emoji16][emoji16]Mungu uwakumbuke wanawake na wanaume wote wanaotafuta ndoa na uwape ndoa za watu walio na agano nao yaani agano la Mungu...
Wakafurahie ndoa Wala wasijute..
Amina
Msiba au misiba?🙄😳Why ?
Ngoja tumalize msiba jmn
Amina, Mtumishi!Mungu uwakumbuke wanawake na wanaume wote wanaotafuta ndoa na uwape ndoa za watu walio na agano nao yaani agano la Mungu...
Wakafurahie ndoa Wala wasijute..
Amina
hahahah, daaah ,Najua wengi wenu mlikuwa mna ndoto za kuolewa na wanaume wenye mali, matajiri na handsome men.
Lakini sasa huenda mmeishia kuwa single maza na umri umesonga mmekuwa wasimbe (27+) au mishangazi
Kumekuwa na ongezeko la single maza wenye 30+ humu jf wanaotafuta waume kwenye love connect huu ni ushahidi tosha.
Mnatamani sana ndoa na mwanamume yeyote ili mradi awasitiri. Bahati mbaya ambayo wengi mnakutana nayo mnaahidiwa ndoa mnaishiwa kupigwa mashine hamuolewi, poleni najua jinsi inawaumuza hiyo hali.
Soko lenu la kuolewa limekuwa gumu sana. Kwanza niwape pole, nimeamua kuandaa huu uzi ili mkutane na kufarijiana na kupeana mbinu za kuolewa au jinsi ya kuishi bila ndoa.
Na sisi wanaume tutakuwa bega kwa bega nanyi kuona tunawasaidiaje.
Mwaka huu tumewaongeza wanawake waliozaliwa 1997 kwenye kundi la wasimbe.
Kwa wale ambao ndoa imeshindikana au itashindikana kabisa nitawaletea uzi wenu maalumu utakaokuwa na heading single women association leo tuanze na walio frustrated kwa kutoolewa kwanza.
Asanteni sana, nawasilisha.
Hahahaaa, DaaahNajua wengi wenu mlikuwa mna ndoto za kuolewa na wanaume wenye mali, matajiri na handsome men.
Lakini sasa huenda mmeishia kuwa single maza na umri umesonga mmekuwa wasimbe (27+) au mishangazi
Kumekuwa na ongezeko la single maza wenye 30+ humu jf wanaotafuta waume kwenye love connect huu ni ushahidi tosha.
Mnatamani sana ndoa na mwanamume yeyote ili mradi awasitiri. Bahati mbaya ambayo wengi mnakutana nayo mnaahidiwa ndoa mnaishiwa kupigwa mashine hamuolewi, poleni najua jinsi inawaumuza hiyo hali.
Soko lenu la kuolewa limekuwa gumu sana. Kwanza niwape pole, nimeamua kuandaa huu uzi ili mkutane na kufarijiana na kupeana mbinu za kuolewa au jinsi ya kuishi bila ndoa.
Na sisi wanaume tutakuwa bega kwa bega nanyi kuona tunawasaidiaje.
Mwaka huu tumewaongeza wanawake waliozaliwa 1997 kwenye kundi la wasimbe.
Kwa wale ambao ndoa imeshindikana au itashindikana kabisa nitawaletea uzi wenu maalumu utakaokuwa na heading single women association leo tuanze na walio frustrated kwa kutoolewa kwanza.
Asanteni sana, nawasilisha.
Wanaume ndo wanaumia sijui kwanini, inashangazaMbona too much attach kwa wanawake.
Kutokuolewa kwao kunawasumbua nini wakuu.
Binamu nitume kwako auTuma CV acha woga.
Fungua pm mremboSiutanioa wewe??eti
Unamsemea?Wanakaribishwa
Babe mbona unanicheka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tia voko mtoto wa kimeru akuelewe@Unique Flower Amenipiga Za Mbavu Japo Mtoto Namuelewa Sana.
Baby girl [emoji8][emoji8][emoji8]Hatari sana yani changamoto za ndoa wapitie wanawake ila wanaoumia na kujifanya wanajali ni wanaume, siku wanawake wakija kushituka na kulijua lengo hasa la wanaume kujifanya wanajali matatizo ya wanawake basi tutakuwa tumepiga hatua moja mbele, kwa sasa endeleeni kudanganywa kwamba eti mwanamke akishafika umri fulani hajaolewa basi ana matatizo (ambayo mpaka leo hayajulikani ni yepi)
Namsaidia tuUnamsemea?
Sasa mzee mimi mbona ni muoajiPole Xi Jinping utaolewa vuta subra.....naamini ndani ya huu uzi utapata mume.
Wapo humuhumu wewe tuMkuu nimefungua uzi haraka nikajua unatugawia hao waoaji
Upcoming msimbe😂😂soonYaani miaka 27 ni msimbe?😂😂😂
Haya wasimbe mje huku mna uzi wenu huku.