kingito
Member
- Sep 10, 2024
- 10
- 3
Wakuu kwema??
Naomba nilete huu uzi hapa ili tuweze kupeana hints za hii job
Ukwl kwamba hii job imechukua watu wa fani tufauti tofauti kupiga hii interview
Naijiuliza ili uweze kudufua hii job unahitaji kujikita kwenye nini hasa?
Common predictable question zinaweza kuwa kama zipi?
Hii practical inaweza kujikita kwenye nini hasa?
Mwenye lile tangazo la kazi anaweza kushea hapa.