Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
ππππHapo kuna MoXtra ya mia tano (logo ndogo) na MoXtra ya buku (logo kubwa) na nasikia wanampango wa kutoa ndogo kabisa ya mia tatu ambayo itakaa kifuani.
Tajiri kasema bil 20,lazima iende kihalali na amesema wakimzingua ubavuni anaweka jina la mke wake.
AaaaahaaaaTatizo la jezi ya simba ni Mo dewj na matangazo kibao..
Hili jambo lazima aambiwe ukwl..
Jezi ni Mo Mo kila sehem kwani yeye ni mwekezaji au mdhamini?
Basi sawa umeshaweka matangazo hapo mbele ya jezi ,,sasa tena lile tangazo kubwa la mo dewj matakoni la nn?
Mimi sitonunuwa jezi ya simba hadi matangazo ya Mo dewj yatolewe kule kwenye makalio.
Yaani sehem zote hajaona pa kuweka maneno Mo dewj kaona mgongoni tena chini kwenye makalio...halafu maandishi makubwa sana...
Mbaya.Jezi za Yanga nzuri,
Ukweli usemwe bhana.
Achana naye anasahau moja ya mapato ya Timu ni JeziJezi nzuri nayo ni sehemu ya mipango ya timu
Simba kweli "mambumbumbu' (Rage voice) yaani wanapenda pesa za mo anazojitolea mda mwingine ila hawataki kumpa shavu (KULA KULIWA)Tatizo la jezi ya simba ni Mo dewj na matangazo kibao..
Hili jambo lazima aambiwe ukwl..
Jezi ni Mo Mo kila sehem kwani yeye ni mwekezaji au mdhamini?
Basi sawa umeshaweka matangazo hapo mbele ya jezi ,,sasa tena lile tangazo kubwa la mo dewj matakoni la nn?
Mimi sitonunuwa jezi ya simba hadi matangazo ya Mo dewj yatolewe kule kwenye makalio.
Yaani sehem zote hajaona pa kuweka maneno Mo dewj kaona mgongoni tena chini kwenye makalio...halafu maandishi makubwa sana...
Jezi inacheza mpira ni team iliyoshinda mashindano kwasababu ya jezi nzuri.Jezi nzuri nayo ni sehemu ya mipango ya timu
.Only in Tanzania watu wana jadili upuuzi yaani kweli jezi ni kitu cha kujadili badala ya kujadili mipango ya team.
Mbumbumbu ni wale walioweka mwiko nyuma,Simba kweli "mambumbumbu' (Rage voice) yaani wanapenda pesa za mo anazojitolea mda mwingine ila hawataki kumpa shavu (KULA KULIWA)